Hivi Watu wanapokuwa wanapinga ujenzi wa barabara na miundo mbinu mingine ni wako serious au wanatania tu kuchangamsha baraza?!Kwahiyo unaona kutumia hela kujenga madarasa ni upotevu wa hela?
Huduma ya Elimu na Afya ndo msingi wa maendeleo utajenga hizo barabara bila kuwa na elimu?