Isikie na hii, uelewe yatakayojili

Isikie na hii, uelewe yatakayojili

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
2,112
Reaction score
1,492
Serikali imepokea mkopo wa Tsh. Trilioni 1.3 kutoka IMF ili kupambamana athari za Covid19 iliyoondoshwa kwa maombi mwaka jana wa 2020.

inasemekana, fedha hizo zitatumika kujenga madarasa, kuboresha huduma za afya nk.

Serikali imekopa matrilioni ya Shilingi kujenga barabara vijijini kutoka Benki ya Dunia, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga reli, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga bwala la kuzalisa umeme, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga miundombinu ya mrafi wa mabasi ya mwendokasi.

Serikali imetumia matrilioni ya shilingi kununua ndege (fedha taslimu).

Unaweza kujiuliza; Kwanini serikali inakopa fedha nyingi kwa ajili ya huduma muhimu za kijamii, halafu inatumia fedha nyingi kununua ndege? Yaani unakopa kwa ajili ya afya, elimu na chakula halafu kile kipato chako unachovuna kwenye mshahara au faida ya biashara unatumia kununua saa kali ya Rolex au suti kali ya Giorgio Armani?

Unaweza kudhani serikali yako ni ya watu wajinga sana. Hapana, si wajinga. Wana akili nyingi tu, lakini si kwa ajili ya wengine, ni akili zao kwa ajili yao wenyewe.

Mikopo yote inalipwa kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania, ambao watateswa kwa kuongezewa tozo, kodi kwenye bidhaa kama mafuta nk, na makato na malipo makubwa kwenye huduma za kijamii; afya, elimu, nk. Hayo hayawaumizi wakubwa wa serikali. Kwahiyo, waziri fulani kutia saini mkataba wa mkopo wa matrilioni ya Shilingi sio shida kwake. Taabu hazitamuhusu. Na kesho atatia saini manunuzi ya ndege au magari 400 ya kifahari kwa ajili ya 'viongozi'.

Zaidi, manunuzi ya ndege na vitu vingine kwa gharama kubwa, ni 'madili ya watu'. Kuna 10%, kuna 'cha juu', kuna 'commission'... Kuna...ujinga mwingi sana.

Natamani nije nichukue Form, nigombee Urais, nikomboe Nchii, je mtaniona??
 
Unajenga Darasa kwa mkopo wakati unajua Darasa halizalishi pesa Ni huduma? Hiyo pesa za kulipa mkopo utaipata wapi?

Pesa ya huduma za jamii zote tulitakiwa kutumia pesa za ndani tunatakiwa kukopa kujenga bandari, Barabara, reli na viwanda!!

Yaani unakopa pesa kununua barakoa seriously? Watu wakisema umehongwa utakataa vip?
 
Kwahiyo unaona kutumia hela kujenga madarasa ni upotevu wa hela?
Huduma ya Elimu na Afya ndo msingi wa maendeleo utajenga hizo barabara bila kuwa na elimu?
 
Hiki ndio kinachokatisha tamaa hata kwa walipa Kodi, tukiona viongozi wanafanya ujanja ujnja kwa manufaa yao na sisi tunaamua kufanya ujanja ujanja huku mtaani
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwahiyo unaona kutumia hela kujenga madarasa ni upotevu wa hela?
Huduma ya Elimu na Afya ndo msingi wa maendeleo utajenga hizo barabara bila kuwa na elimu?
Barabara inasafirisha mizigo mizigo inalipa Kodi Kodi zitalipa mikopo nambie Darasa linalipaje Kodi na mkopo?!!

Wakati huo wahitimu toka mwaka 2010_2021 wapo mtaani!!
 
GOMBEA!
1f44a.png
 
Serikali imepokea mkopo wa Tsh. Trilioni 1.3 kutoka IMF ili kupambamana athari za Covid19 iliyoondoshwa kwa maombi mwaka jana wa 2020.

inasemekana, fedha hizo zitatumika kujenga madarasa, kuboresha huduma za afya nk.

Serikali imekopa matrilioni ya Shilingi kujenga barabara vijijini kutoka Benki ya Dunia, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga reli, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga bwala la kuzalisa umeme, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga miundombinu ya mrafi wa mabasi ya mwendokasi.

Serikali imetumia matrilioni ya shilingi kununua ndege (fedha taslimu).

Unaweza kujiuliza; Kwanini serikali inakopa fedha nyingi kwa ajili ya huduma muhimu za kijamii, halafu inatumia fedha nyingi kununua ndege? Yaani unakopa kwa ajili ya afya, elimu na chakula halafu kile kipato chako unachovuna kwenye mshahara au faida ya biashara unatumia kununua saa kali ya Rolex au suti kali ya Giorgio Armani?

Unaweza kudhani serikali yako ni ya watu wajinga sana. Hapana, si wajinga. Wana akili nyingi tu, lakini si kwa ajili ya wengine, ni akili zao kwa ajili yao wenyewe.

Mikopo yote inalipwa kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania, ambao watateswa kwa kuongezewa tozo, kodi kwenye bidhaa kama mafuta nk, na makato na malipo makubwa kwenye huduma za kijamii; afya, elimu, nk. Hayo hayawaumizi wakubwa wa serikali. Kwahiyo, waziri fulani kutia saini mkataba wa mkopo wa matrilioni ya Shilingi sio shida kwake. Taabu hazitamuhusu. Na kesho atatia saini manunuzi ya ndege au magari 400 ya kifahari kwa ajili ya 'viongozi'.

Zaidi, manunuzi ya ndege na vitu vingine kwa gharama kubwa, ni 'madili ya watu'. Kuna 10%, kuna 'cha juu', kuna 'commission'... Kuna...ujinga mwingi sana.

Natamani nije nichukue Form, nigombee Urais, nikomboe Nchii, je mtaniona??
Mi-5 tena!
 
Unajenga Darasa kwa mkopo wakati unajua Darasa halizalishi pesa Ni huduma? Hiyo pesa za kulipa mkopo utaipata wapi?

Pesa ya huduma za jamii zote tulitakiwa kutumia pesa za ndani tunatakiwa kukopa kujenga bandari, Barabara, reli na viwanda!!

Yaani unakopa pesa kununua barakoa seriously? Watu wakisema umehongwa utakataa vip?
Kwa jinsi hii na mwendo huu tusahau kuondoka kwenye umasikini wa nchi...Bora hata wangekuwa hawabadilishwi badilishwi...Sasa watu 60M kila moja anapanga kuondoa umasikini kupitia njia za mkato badala ya kujenga uwezo wa nchi kuzalisha!
 
Serikali imepokea mkopo wa Tsh. Trilioni 1.3 kutoka IMF ili kupambamana athari za Covid19 iliyoondoshwa kwa maombi mwaka jana wa 2020.

inasemekana, fedha hizo zitatumika kujenga madarasa, kuboresha huduma za afya nk.

Serikali imekopa matrilioni ya Shilingi kujenga barabara vijijini kutoka Benki ya Dunia, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga reli, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga bwala la kuzalisa umeme, imekopa matrilioni ya shilingi kujenga miundombinu ya mrafi wa mabasi ya mwendokasi.

Serikali imetumia matrilioni ya shilingi kununua ndege (fedha taslimu).

Unaweza kujiuliza; Kwanini serikali inakopa fedha nyingi kwa ajili ya huduma muhimu za kijamii, halafu inatumia fedha nyingi kununua ndege? Yaani unakopa kwa ajili ya afya, elimu na chakula halafu kile kipato chako unachovuna kwenye mshahara au faida ya biashara unatumia kununua saa kali ya Rolex au suti kali ya Giorgio Armani?

Unaweza kudhani serikali yako ni ya watu wajinga sana. Hapana, si wajinga. Wana akili nyingi tu, lakini si kwa ajili ya wengine, ni akili zao kwa ajili yao wenyewe.

Mikopo yote inalipwa kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania, ambao watateswa kwa kuongezewa tozo, kodi kwenye bidhaa kama mafuta nk, na makato na malipo makubwa kwenye huduma za kijamii; afya, elimu, nk. Hayo hayawaumizi wakubwa wa serikali. Kwahiyo, waziri fulani kutia saini mkataba wa mkopo wa matrilioni ya Shilingi sio shida kwake. Taabu hazitamuhusu. Na kesho atatia saini manunuzi ya ndege au magari 400 ya kifahari kwa ajili ya 'viongozi'.

Zaidi, manunuzi ya ndege na vitu vingine kwa gharama kubwa, ni 'madili ya watu'. Kuna 10%, kuna 'cha juu', kuna 'commission'... Kuna...ujinga mwingi sana.

Natamani nije nichukue Form, nigombee Urais, nikomboe Nchii, je mtaniona??

si mzigo mwepesi ata kidogo
 
Ifike mahali wananchi waambiwe ukweli kuwa hizi ni hela za mafisadi zilizochukuliwa
 
Akilini naona ni matope wewe !

sawa nimeenda kukopa milioni 50 !
-milioni 15 nimeweka kwenye biashara alafu 35 nimenunua gari.
biashara yenyewe sijui kama itarudisha
Magreat thinkers hawakopi wanunue gari la luxurious, atakopa kununua gari litakalo zalisha, sasa unakopa kuboresha huduma za jamiii mmmmm, unaakili kweli????
 
Back
Top Bottom