Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 May 29, 2021 #1 Habari, Naomba kuuliza swali hili, Isidingo imeonyeshwa miaka mingi sana ITV nani alikuwa anamlipa mwenzake, maana miaka na miaka nakuwa nacheck tu. Pia naona imekuja pia tamthilia nyingine tofauti na Isidingo kuisha. Pigia Yesu Makofi 👏👏
Habari, Naomba kuuliza swali hili, Isidingo imeonyeshwa miaka mingi sana ITV nani alikuwa anamlipa mwenzake, maana miaka na miaka nakuwa nacheck tu. Pia naona imekuja pia tamthilia nyingine tofauti na Isidingo kuisha. Pigia Yesu Makofi 👏👏
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,913 Reaction score 6,603 May 29, 2021 #2 ITV wanalipa SABC
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,801 Reaction score 60,645 May 29, 2021 #3 Siku zote tv hulipa kwa vipindi, lakini matangazo hulipa kwa tv
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,801 Reaction score 60,645 May 29, 2021 #4 Cc Pascal Mayalla
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 May 29, 2021 #5 Tupigie Yesu makofi? Kwa kuja tamthilia ingine?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 May 29, 2021 #6 Tupigie Yesu makofi? Kwa kuja tamthilia ingine?
L lulu za uru JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,742 Reaction score 3,450 May 29, 2021 #7 Hii uzalo bado sana kwa Isidingo labda huko mbeleni ila hadi sasa haijanistua....sijaona la maana labda ikija kuchanganya
Hii uzalo bado sana kwa Isidingo labda huko mbeleni ila hadi sasa haijanistua....sijaona la maana labda ikija kuchanganya
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 7,639 Reaction score 12,123 May 29, 2021 #8 lulu za uru said: Hii uzalo bado sana kwa Isidingo labda huko mbeleni ila hadi sasa haijanistua....sijaona la maana labda ikija kuchanganya Click to expand... We uzalo ni ya moto kinyama stay tuned.
lulu za uru said: Hii uzalo bado sana kwa Isidingo labda huko mbeleni ila hadi sasa haijanistua....sijaona la maana labda ikija kuchanganya Click to expand... We uzalo ni ya moto kinyama stay tuned.
L lulu za uru JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,742 Reaction score 3,450 May 29, 2021 #9 othuman dan fodio said: We uzalo ni ya moto kinyama stay tuned. Click to expand... Ndiyo maana nikasema labda kwa mbeleni ila uanzaji wake haujastua kawaida Sana sana yani N
othuman dan fodio said: We uzalo ni ya moto kinyama stay tuned. Click to expand... Ndiyo maana nikasema labda kwa mbeleni ila uanzaji wake haujastua kawaida Sana sana yani N