Ishu ya mwingira yafikishwa mahakamani

Ishu ya mwingira yafikishwa mahakamani

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,160
[h=3]MWINGIRA ABURUZWA KORTINI[/h]Posted by GLOBAL on December 3, 2013 at 6:30am9 Comments 0 Likes
Stori: Wandishi Wetu

LILE sakata la Nabii na Mtume Josephat Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu Dk. Phills Nyambi limeendelea kupamba moto, mlalamikaji Dk. Morris William, raia wa Liberia amefungua kesi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akidai fidia ya shilingi bilioni 7.5.
Mtume na Nabii Josephat Mwingira.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa na Dk. William, anayewakilishwa na Wakili Desidery Ndibalema amemshitaki Mwingira kama mlalamikiwa namba moja na mke wa mlalamikaji, Dk. Philis Nyimbi…
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/mwingira-aburuzwa-kortini Stori: Wandishi Wetu
LILE sakata la Nabii na Mtume Josephat Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu Dk. Phills Nyambi limeendelea kupamba moto, mlalamikaji Dk. Morris William, raia wa Liberia amefungua kesi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akidai fidia ya shilingi bilioni 7.5.
Mtume na Nabii Josephat Mwingira.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa na Dk. William, anayewakilishwa na Wakili Desidery Ndibalema amemshitaki Mwingira kama mlalamikiwa namba moja na mke wa mlalamikaji, Dk. Philis Nyimbi ni mshtakiwa wa pili.
Tayari shauri hilo lililopelekwa mahakamni Novemba 21, mwaka huu na kupewa usajili namba 306 la 2013 limepangwa kutajwa Desemba 12, mwaka huu na hakimu atakayelisikiliza ni Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Chanzo chetu ndani ya Mahakama ya Kisutu, kimesema kuwa katika nyaraka za mashtaka (nakala tunazo) zilizowasilishwa mahakamani hapo, Dk. William amedai kuwa katika tarehe ambayo haijulikani Mwingira aliingia katika uhusiano wa kimapenzi na mkewe.
Dk. Philis Nyimbi anayedaiwa kuzaa na Nabii Mwingira.
Nyaraka hizo zinaeleza kuwa baada ya mlalamika kugundua kuhusu hilo, alimuuliza mkewe ambaye alijitetea kwamba alibakwa.
Zinaeleza kuwa uhusiano huo haukuishia katika kupewa mimba tu bali pia mke wake kupata changamoto nyingine za kiafya ambazo hata hivyo hakuzitaja.
HOJA YA WAKILI WA MLALAMIKAJI
Katika nyaraka hizo, Wakili Ndibalema alisema kuwa mteja wake baada ya kubaini kwamba mkewe amezaa na Mwingira, vilevile amepata changamoto za kiafya, aliamua kutoa ripoti Kituo cha Polisi Kati, Kibaha, Pwani.
“Polisi walimjibu mteja wangu kuwa hiyo ni kesi ya madai, siyo jinai, wakamshauri afungue madai mahakamani,” anaeleza Ndibalema kwenye hati hiyo ya mashtaka.
Mtoto wa Nabii Mwingira aliyezaa na Dk. Philis.
Anaendelea kusema, mtoto ambaye Mwingira analalamikiwa kuzaa na Dk. Philis ana umri wa miaka mitano hivi sasa.
Wakili Ndibalema anaeleza: “Uhusiano huo wa kimapenzi, umesababisha usaliti katika ndoa ya halali ya mteja wangu, imemsababishia kukata tamaa ya maisha na kuathirika kisaikolojia.
“Uwezo wa utendaji kazi wa mteja wangu umeshuka kwa kiwango kikubwa, anaongoza taasisi isiyo ya kiserikali ya kimataifa ambayo sasa imekosa udhamini kutoka kwa mtu mmoja mmoja au vikundi vya taasisi mbalimbali duniani.
“Kwa hatua hiyo, mteja wangu amevunjiwa heshima na kushushwa hadhi yake siyo Tanzania tu bali duniani kote.”
ANACHOHITAJI DK. WILLIAM KWA MWINGIRA
Katika maelezo yake, Dk. William anaomba kupitia kwa wakili wake kwamba mahakama iamuru yeye, Dk. Philis na Mwingira, wakapimwe Ukimwi na mtoto afanyiwe uchunguzi wa DNA.
Dk. William pia amedai kuwa ana vifaa vya hospitali vyenye thamani ya dola za Kimarekani 6,500,000 (zaidi ya shilingi bilioni 10), ambavyo Mwingira amevichukua baada ya kula njama na Dk. Philis.
ANAOMBA ALIPWE SHILINGI BILIONI 7.5
Katika hoja hiyo, Dk. William anaomba kwanza arudishiwe vifaa vyake ambavyo amedai Mwingira na Dk. Philis kuvitaifisha na baada ya kurejeshewa, alipwe fidia ya shilingi bilioni 7.5.
Dk. William ametoa hoja ya kwa nini alipwe kiasi hicho kwamba; yeye ni mtaalamu wa kimataifa wa afya ambaye amewahi kutambuliwa na Ikulu ya Marekani (White House) chini ya marais Bill Clinton na George Bush.
Taasisi yake iitwayo Global 2000(2010) International ambayo imejikita Texas, Marekani ilitambuliwa na Umoja wa Mataifa na alibuni vifaa mbalimbali vya matumizi katika sekta ya afya na magari nchini Marekani ambavyo thamani yake ni dola za Kimarekani 100,000,000 (zaidi ya shilingi bilioni 160).
Alikuwa na mpango kwa kushirikiana na mkewe kujenga kituo cha utafiti cha afya na hoteli ya nyota tano mkoani Kilimanjaro na alinunua hekari 37 kwa ajili hiyo, hata hivyo, mkewe alimpa Mwingira zawadi.
Alichaguliwa kuwa mmoja wa watu wanaotambuliwa katika huduma za afya kwa karne ya 21 kutokana na utendaji wake katika tasnia hiyo nchini Marekani.
Alikuwa akiishi vizuri na mkewe na alishaanza kumtafutia viza ili aweze kwenda kufanya naye kazi na kuishi Marekani.
DK. WILLIAM AZUNGUMZA
Dk. William alipotafutwa na waandishi wetu alikiri kufungua kesi hiyo, akasema:
“Nina mpango wa kumfulia Mwingira kesi nyingine ya madai katika mahakama ya kimataifa kama nitaona hapa Tanzania sitendewi haki.”
MWINGIRA JE?
Kwa upande wa Mwingira bado ni vigumu kumpata, kwani jitihada za waandishi wetu kumtafuta kuzungumza naye hazikuzaa matunda, kwani zilikwamishwa na wasaidizi wake ambao hawataki kabisa bosi wao ahojiwe.

mwingira aburuzwa kortini

posted by global on december 3, 2013 at 6:30am9 comments 0 likes
stori: Wandishi wetu

lile sakata la nabii na mtume josephat mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu dk. Phills nyambi limeendelea kupamba moto, mlalamikaji dk. Morris william, raia wa liberia amefungua kesi mahakama ya hakimu mkazi kisutu, dar es salaam, akidai fidia ya shilingi bilioni 7.5.
mtume na nabii josephat mwingira.
katika kesi hiyo iliyofunguliwa na dk. William, anayewakilishwa na wakili desidery ndibalema amemshitaki mwingira kama mlalamikiwa namba moja na mke wa mlalamikaji, dk. Philis nyimbi…
stori: Wandishi wetu
lile sakata la nabii na mtume josephat mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu dk. Phills nyambi limeendelea kupamba moto, mlalamikaji dk. Morris william, raia wa liberia amefungua kesi mahakama ya hakimu mkazi kisutu, dar es salaam, akidai fidia ya shilingi bilioni 7.5.
mtume na nabii josephat mwingira.
katika kesi hiyo iliyofunguliwa na dk. William, anayewakilishwa na wakili desidery ndibalema amemshitaki mwingira kama mlalamikiwa namba moja na mke wa mlalamikaji, dk. Philis nyimbi ni mshtakiwa wa pili.
Tayari shauri hilo lililopelekwa mahakamni novemba 21, mwaka huu na kupewa usajili namba 306 la 2013 limepangwa kutajwa desemba 12, mwaka huu na hakimu atakayelisikiliza ni hakimu mkazi hellen riwa.
Chanzo chetu ndani ya mahakama ya kisutu, kimesema kuwa katika nyaraka za mashtaka (nakala tunazo) zilizowasilishwa mahakamani hapo, dk. William amedai kuwa katika tarehe ambayo haijulikani mwingira aliingia katika uhusiano wa kimapenzi na mkewe.
dk. Philis nyimbi anayedaiwa kuzaa na nabii mwingira.
nyaraka hizo zinaeleza kuwa baada ya mlalamika kugundua kuhusu hilo, alimuuliza mkewe ambaye alijitetea kwamba alibakwa.
Zinaeleza kuwa uhusiano huo haukuishia katika kupewa mimba tu bali pia mke wake kupata changamoto nyingine za kiafya ambazo hata hivyo hakuzitaja.
hoja ya wakili wa mlalamikaji
katika nyaraka hizo, wakili ndibalema alisema kuwa mteja wake baada ya kubaini kwamba mkewe amezaa na mwingira, vilevile amepata changamoto za kiafya, aliamua kutoa ripoti kituo cha polisi kati, kibaha, pwani.
"polisi walimjibu mteja wangu kuwa hiyo ni kesi ya madai, siyo jinai, wakamshauri afungue madai mahakamani," anaeleza ndibalema kwenye hati hiyo ya mashtaka.
mtoto wa nabii mwingira aliyezaa na dk. Philis.
anaendelea kusema, mtoto ambaye mwingira analalamikiwa kuzaa na dk. Philis ana umri wa miaka mitano hivi sasa.
Wakili ndibalema anaeleza: "uhusiano huo wa kimapenzi, umesababisha usaliti katika ndoa ya halali ya mteja wangu, imemsababishia kukata tamaa ya maisha na kuathirika kisaikolojia.
"uwezo wa utendaji kazi wa mteja wangu umeshuka kwa kiwango kikubwa, anaongoza taasisi isiyo ya kiserikali ya kimataifa ambayo sasa imekosa udhamini kutoka kwa mtu mmoja mmoja au vikundi vya taasisi mbalimbali duniani.
"kwa hatua hiyo, mteja wangu amevunjiwa heshima na kushushwa hadhi yake siyo tanzania tu bali duniani kote."
anachohitaji dk. William kwa mwingira
katika maelezo yake, dk. William anaomba kupitia kwa wakili wake kwamba mahakama iamuru yeye, dk. Philis na mwingira, wakapimwe ukimwi na mtoto afanyiwe uchunguzi wa dna.
Dk. William pia amedai kuwa ana vifaa vya hospitali vyenye thamani ya dola za kimarekani 6,500,000 (zaidi ya shilingi bilioni 10), ambavyo mwingira amevichukua baada ya kula njama na dk. Philis.
anaomba alipwe shilingi bilioni 7.5
katika hoja hiyo, dk. William anaomba kwanza arudishiwe vifaa vyake ambavyo amedai mwingira na dk. Philis kuvitaifisha na baada ya kurejeshewa, alipwe fidia ya shilingi bilioni 7.5.
Dk. William ametoa hoja ya kwa nini alipwe kiasi hicho kwamba; yeye ni mtaalamu wa kimataifa wa afya ambaye amewahi kutambuliwa na ikulu ya marekani (white house) chini ya marais bill clinton na george bush.
Taasisi yake iitwayo global 2000(2010) international ambayo imejikita texas, marekani ilitambuliwa na umoja wa mataifa na alibuni vifaa mbalimbali vya matumizi katika sekta ya afya na magari nchini marekani ambavyo thamani yake ni dola za kimarekani 100,000,000 (zaidi ya shilingi bilioni 160).
Alikuwa na mpango kwa kushirikiana na mkewe kujenga kituo cha utafiti cha afya na hoteli ya nyota tano mkoani kilimanjaro na alinunua hekari 37 kwa ajili hiyo, hata hivyo, mkewe alimpa mwingira zawadi.
Alichaguliwa kuwa mmoja wa watu wanaotambuliwa katika huduma za afya kwa karne ya 21 kutokana na utendaji wake katika tasnia hiyo nchini marekani.
Alikuwa akiishi vizuri na mkewe na alishaanza kumtafutia viza ili aweze kwenda kufanya naye kazi na kuishi marekani.
dk. William azungumza
dk. William alipotafutwa na waandishi wetu alikiri kufungua kesi hiyo, akasema:
"nina mpango wa kumfulia mwingira kesi nyingine ya madai katika mahakama ya kimataifa kama nitaona hapa tanzania sitendewi haki."
mwingira je?
kwa upande wa mwingira bado ni vigumu kumpata, kwani jitihada za waandishi wetu kumtafuta kuzungumza naye hazikuzaa matunda, kwani zilikwamishwa na wasaidizi wake ambao hawataki kabisa bosi wao ahojiwe.

hapa ndipo mahali pake!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
MWINGIRA ABURUZWA KORTINI

Posted by GLOBAL on December 3, 2013 at 6:30am9 Comments 0 Likes
Stori: Wandishi Wetu

LILE sakata la Nabii na Mtume Josephat Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu Dk. Phills Nyambi limeendelea kupamba moto, mlalamikaji Dk. Morris William, raia wa Liberia amefungua kesi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akidai fidia ya shilingi bilioni 7.5.
Mtume na Nabii Josephat Mwingira.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa na Dk. William, anayewakilishwa na Wakili Desidery Ndibalema amemshitaki Mwingira kama mlalamikiwa namba moja na mke wa mlalamikaji, Dk. Philis Nyimbi…
Stori: Wandishi Wetu
LILE sakata la Nabii na Mtume Josephat Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu Dk. Phills Nyambi limeendelea kupamba moto, mlalamikaji Dk. Morris William, raia wa Liberia amefungua kesi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akidai fidia ya shilingi bilioni 7.5.
Mtume na Nabii Josephat Mwingira.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa na Dk. William, anayewakilishwa na Wakili Desidery Ndibalema amemshitaki Mwingira kama mlalamikiwa namba moja na mke wa mlalamikaji, Dk. Philis Nyimbi ni mshtakiwa wa pili.
Tayari shauri hilo lililopelekwa mahakamni Novemba 21, mwaka huu na kupewa usajili namba 306 la 2013 limepangwa kutajwa Desemba 12, mwaka huu na hakimu atakayelisikiliza ni Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Chanzo chetu ndani ya Mahakama ya Kisutu, kimesema kuwa katika nyaraka za mashtaka (nakala tunazo) zilizowasilishwa mahakamani hapo, Dk. William amedai kuwa katika tarehe ambayo haijulikani Mwingira aliingia katika uhusiano wa kimapenzi na mkewe.
Dk. Philis Nyimbi anayedaiwa kuzaa na Nabii Mwingira.
Nyaraka hizo zinaeleza kuwa baada ya mlalamika kugundua kuhusu hilo, alimuuliza mkewe ambaye alijitetea kwamba alibakwa.
Zinaeleza kuwa uhusiano huo haukuishia katika kupewa mimba tu bali pia mke wake kupata changamoto nyingine za kiafya ambazo hata hivyo hakuzitaja.
HOJA YA WAKILI WA MLALAMIKAJI
Katika nyaraka hizo, Wakili Ndibalema alisema kuwa mteja wake baada ya kubaini kwamba mkewe amezaa na Mwingira, vilevile amepata changamoto za kiafya, aliamua kutoa ripoti Kituo cha Polisi Kati, Kibaha, Pwani.
"Polisi walimjibu mteja wangu kuwa hiyo ni kesi ya madai, siyo jinai, wakamshauri afungue madai mahakamani," anaeleza Ndibalema kwenye hati hiyo ya mashtaka.
Mtoto wa Nabii Mwingira aliyezaa na Dk. Philis.
Anaendelea kusema, mtoto ambaye Mwingira analalamikiwa kuzaa na Dk. Philis ana umri wa miaka mitano hivi sasa.
Wakili Ndibalema anaeleza: "Uhusiano huo wa kimapenzi, umesababisha usaliti katika ndoa ya halali ya mteja wangu, imemsababishia kukata tamaa ya maisha na kuathirika kisaikolojia.
"Uwezo wa utendaji kazi wa mteja wangu umeshuka kwa kiwango kikubwa, anaongoza taasisi isiyo ya kiserikali ya kimataifa ambayo sasa imekosa udhamini kutoka kwa mtu mmoja mmoja au vikundi vya taasisi mbalimbali duniani.
"Kwa hatua hiyo, mteja wangu amevunjiwa heshima na kushushwa hadhi yake siyo Tanzania tu bali duniani kote."
ANACHOHITAJI DK. WILLIAM KWA MWINGIRA
Katika maelezo yake, Dk. William anaomba kupitia kwa wakili wake kwamba mahakama iamuru yeye, Dk. Philis na Mwingira, wakapimwe Ukimwi na mtoto afanyiwe uchunguzi wa DNA.
Dk. William pia amedai kuwa ana vifaa vya hospitali vyenye thamani ya dola za Kimarekani 6,500,000 (zaidi ya shilingi bilioni 10), ambavyo Mwingira amevichukua baada ya kula njama na Dk. Philis.
ANAOMBA ALIPWE SHILINGI BILIONI 7.5
Katika hoja hiyo, Dk. William anaomba kwanza arudishiwe vifaa vyake ambavyo amedai Mwingira na Dk. Philis kuvitaifisha na baada ya kurejeshewa, alipwe fidia ya shilingi bilioni 7.5.
Dk. William ametoa hoja ya kwa nini alipwe kiasi hicho kwamba; yeye ni mtaalamu wa kimataifa wa afya ambaye amewahi kutambuliwa na Ikulu ya Marekani (White House) chini ya marais Bill Clinton na George Bush.
Taasisi yake iitwayo Global 2000(2010) International ambayo imejikita Texas, Marekani ilitambuliwa na Umoja wa Mataifa na alibuni vifaa mbalimbali vya matumizi katika sekta ya afya na magari nchini Marekani ambavyo thamani yake ni dola za Kimarekani 100,000,000 (zaidi ya shilingi bilioni 160).
Alikuwa na mpango kwa kushirikiana na mkewe kujenga kituo cha utafiti cha afya na hoteli ya nyota tano mkoani Kilimanjaro na alinunua hekari 37 kwa ajili hiyo, hata hivyo, mkewe alimpa Mwingira zawadi.
Alichaguliwa kuwa mmoja wa watu wanaotambuliwa katika huduma za afya kwa karne ya 21 kutokana na utendaji wake katika tasnia hiyo nchini Marekani.
Alikuwa akiishi vizuri na mkewe na alishaanza kumtafutia viza ili aweze kwenda kufanya naye kazi na kuishi Marekani.
DK. WILLIAM AZUNGUMZA
Dk. William alipotafutwa na waandishi wetu alikiri kufungua kesi hiyo, akasema:
"Nina mpango wa kumfulia Mwingira kesi nyingine ya madai katika mahakama ya kimataifa kama nitaona hapa Tanzania sitendewi haki."
MWINGIRA JE?
Kwa upande wa Mwingira bado ni vigumu kumpata, kwani jitihada za waandishi wetu kumtafuta kuzungumza naye hazikuzaa matunda, kwani zilikwamishwa na wasaidizi wake ambao hawataki kabisa bosi wao ahojiwe.

[h=2]Nabii na Mtume Josephati Elias Mwingira wa Efatha ameshitakiwa KISUTU kwa makosa ya Zinaa!!![/h]
Anayejiita Nabii na Mtume Josephati Elias Mwingira kutoka Efatha ameshitakiwa na Dkt Willium Morris kwa kosa la kufanya Zinaa na kuzaa na Mkewe.

Mwingira wa Efatha anatajwa kufanya zinaa na Mke wa Dkt Willium alitwaye Bi Philis Nyimbi mfanyakazi wa Wizara ya afya Songea ambaye anatoka kabila moja na Mwingira.
Zinaa hiyo imetajwa katika hati ya mashitaka kuwa ilifanyika katika hoteli ya Millium Tower ambapo Mwingira alikodisha chumba hapo kwa ajiri ya Maombi ya Deliverence usiku kucha.
Hati ya Mashitaka inazidi kuelezea kuwa Nabii Mwingira amezaa motto na mwanamke huyo na kupewa jina la DAUDI.
Kufautia kashifa hizo Dkt Morris amemtaka Mwingira kulipa fidia ya Tshs7billions na ameiomba mahakama itoe kibali cha Mwingira kwenda kupima DNA.

Kesi hiyo namba306/2013 imepangiwa hakimu Kisutu aitwaye BI HELLEN RIWA na imepagwa kusikilizwa kwa mara ya kwanza tarehe 12/12/2013..

Tuhuma za kutembea na wake za watu zimemkumba Mwingira baada ya ile ya kwanza ambayo Mwingira alifanya zinaa na mke wa Mbuya na kumwambukiza ugonjwa
Angalia hapa:
Katika kesi hiyo266/2010 Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:
‘That the plantiff's claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet' are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant's wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .'

Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!

Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote.
 
Hawa wachungaji bana ni wazushi tu, wacha wambuluze mahakamani.
 
Why always Mwingira? Nabii huyu anashida gani na wake za watu, manabii wa mungu hawatongozi,hawabaki wala hawazini na wake za watu ila huyu mwenzetu kama tuhuma hizi ni za kweli basi unabii na utume aliojipa bora aukane mwenyewe.
 
Chunga imani yako usimtizame matendo ya anae kuongoza utapotea.
 
Hata kibwetere na Jim jones walikuwa wachungaji!! Siendi ng'ooo kwenye hayo makanisa.
 
Unajua ukimuaibisha yesu, huwezi kudumu, na yeye atakuwa embarassed na situation yako. Huyu Nabii na Mtume sijui ni mtumishi wa nani? huwezi kuwa wa yesu ukafanya vituko kama hivi, halafu ukidai kuwa ni mtumishi wa bwana, Watu watajifunza nini toka kwako? Pili, nchi yetu imejaa dhuluma na woga kwa watu wenye nafasi hasa za kifedha. Mwingira anaongopwa kwa fedha zake ndio maana hata alipovunja jengo la jirani yake, na pale alipowavamia wakazi wa bagamoyo, na pia yule mke wa muumini wake aliyembaka repeatedly huku akitaka kumilikishwa kiwanja cha ufukweni cha Kawe, vingetosha kumpeleka mahali pale ili kuwanusuru watu wengine.

Kapuya
Hebu angalieni swala la kapuya linavyopigwa danadana, ni kama vile watoto wa wengine sio watu. Nguza walimfunga kwa kuwa hakuwa na pesa za kuhongo. Hebu jamii tusimame kidete ili hasira ya bwana isije ikawa juu yetu sisi kama taifa. Huyu Dr Williams bila shaka anafahamu juu ya jambo fulani kuhusu afya ya Mwingira. Wanaume wengi hapa mjini wameadhirika, wanajua lakini wanajikausha huku wakiendelea kuangamiza watu wasiona hatia. Kuna tajiri mmoja hapa Dar es Salaam anajulikana kabisa kuwa ni muadhirika, si mara moja anabaka wasichana tena huku akiwashikia bastola na hata kuwaingilia kinyume cha maumbile, ameshafunguliwa kesi kadhaa pale Oysterbay lakini polisi wanazugazuga huku wakila pesa zake na kulalia haki za watu. Tajiri huyu pale Kinondoni Mahakamani ana jamaa yake ni mkuu wa makarani ndio anayemsaidia kuzima kila jaribio la wasichana hawa la kutafuta haki zao.

Tunatangaza Kiama

Sisi hapa wana Jamii forum hatutasita kuwataja watu hawa kama hawataacha ushenzi huu
 
Unajua ukimuaibisha yesu, huwezi kudumu, na yeye atakuwa embarassed na situation yako. Huyu Nabii na Mtume sijui ni mtumishi wa nani? huwezi kuwa wa yesu ukafanya vituko kama hivi, halafu ukidai kuwa ni mtumishi wa bwana, Watu watajifunza nini toka kwako? Pili, nchi yetu imejaa dhuluma na woga kwa watu wenye nafasi hasa za kifedha. Mwingira anaongopwa kwa fedha zake ndio maana hata alipovunja jengo la jirani yake, na pale alipowavamia wakazi wa bagamoyo, na pia yule mke wa muumini wake aliyembaka repeatedly huku akitaka kumilikishwa kiwanja cha ufukweni cha Kawe, vingetosha kumpeleka mahali pale ili kuwanusuru watu wengine.

Sisi hapa wana Jamii forum hatutasita kuwataja watu hawa kama hawataacha ushenzi huu

Ndugu, kwa kuwa issue hii tayari imefikishwa mahakamani tuwe na subira tuone ukweli ni upi. Maana mengi yamesemwa ikiwa ni pamoja na kumtukana Mtume na Nabii Mwingira. HERI yenu kama itakuwa kweli, lakini OLE itakuwa kwenu kama siyo kweli kwa kuwa mmemtukana sana mtumishi wa Bwana. Mimi bado niko NEUTRAL until it is proved the allegations to be true.
 
Kwann usiwataje sasa??? Kwan hujui kusita kwako kuwataja Kama unawajua wasichana wengine wanaendelea kuwa victim??? Kumbuka hata kibwetere na Jim jones walikuwa wakimtaja yesu na yesu hakujidhihirisha kwa wafuasi wao!! Mpaka umauti ukawakuta!! I just don't understand how the Jesus/religious mechanics work! Maybe just maybe for the chosen ones.
 
Hata kibwetere na Jim jones walikuwa wachungaji!! Siendi ng'ooo kwenye hayo makanisa.

Hata mareem mwamedi alikuwa mtume akabaka binti wa miaka 6, siendi ngoo kwenye makanisa yake!
 
Sijawapata vizuri, mnamaana Ndg. Josephat Mwingira ni muathirika wa ukimwi?
 
Unaweza kushangaa jinsi wafuasi wake watakavyomtetea humu..
Ndio maana huwa nawafananisha na wale wafuasi wa mchungaji Joseph Kibwetere wa nchini Uganda, naamini kuna siku huyu nabii Mzinifu Mwingira atawafanyia kitu mbaya waumni wake.

Yaani wako kama majuha tu.
 
Ndio maana wanalambana risasi na tindikali.

Wala msiikaribie zinaa.
 
Kama ulikuwa unadhani Mimi ni muislamu! Imekula kwako, Mimi ni mkristo lakini hainifanyi nisioji au kujilinda mwenyewe, nimeona watu waliokuwa kwenye makanisa hayo ya ajabu wakiugua mpaka kufa ukiuliza yesu atawaponya!! Mtu anaumwa Tb hataki kwenda hospital, mama yangu mzazi rafiki yake mkubwa alikuwa Ana cancer ya ziwa mpaka imemuua! Sasa na struggle kumtoa mama yangu kwenye makanisa hayo hayo!! Kila ukiongea nae ni yesu maneno mawili yesu yesu!! Is it how Jesus want us to be?? I don't think so.
 
Back
Top Bottom