Ishu ya mwingira yafikishwa mahakamani

Ishu ya mwingira yafikishwa mahakamani

Siyo hapo tu kwa Mwingira na kule Anglican wanakoruhusu ndoa ya jinsia moja. kule Vatican wanakolawiti watoto wadogo. siendi ngoo
 
sawa kabisa acha aburuzwe mahakamani. hii ni hatua muafaka kwa matapeli wote wanaotumia dini kuendeleza utapeli wao na ufuska huku wakijipa vyeo vya unabii, utume n.k bila hata kuwepo na chombo maalum kinachotambuliwa kuwapa nyadhifa hizo.
 
Watu wanasoma vitabu hivyo wakifikiri wanajua sana mwisho wake wanakuwa Kama wehu!!
 
Kampuni moja majina tofauti tu! Rozari=Tasbihi
Uvumba=Udi
Magauni meupe=kanzu
Kofia ya papa= baragashia
Changanya na zako!
 
Niliwahi kusema huyo mtu ni mwongo! Akisimama tu anaanza ppapapapapapapapapa atetetetetetetet lolololololoo eti kapandwa na roho mtakatifu, najiuliza roho mtakatifu yupi? Caesar's wife should be above suspicion...
 
wakuu naona mumeshaanza kuhukumu kabla hata ya mahakama.
kwenye mambo haya wala siwekagi neno, ni Mungu mwenyewe ndio anajua yupi tapeli yupi laghai na yupi anasema kweli.
 
Du!!! naona jamaa kamkomalia sijui mwisho wake itakuwaje kwa nabii na mtume, ngoja tusubire DNA itatoa majibu kama jamaa kweli alikuwa anakula kondoo wake au anasingiziwa.
 
Mwingira kwa kumuangalia unaona ni mtu anayependa ngono sana
 
Roho wa Mungu awaongoze katika kujadili hili jambo
Kwa hili naomba mie nikae kimya
 
Mpango wa Mungu kwa wanadamu ni upi basi? Manake kama unakiri Shetani yupo basi ulishakiri Mungu yupo.

Kukiri shetani yupo haimaanishi nimekiri Mungu yupo na kama yupo asinge ruhusu haya unayoyaona leo.
 
Kampuni moja majina tofauti tu! Rozari=Tasbihi
Uvumba=Udi
Magauni meupe=kanzu
Kofia ya papa= baragashia
Changanya na zako!

Nimeipenda hii mkuu, ngoja niikopi ili iwe relensi muhimu, kwangu,
 
Back
Top Bottom