Ishu ya mwanamke kukupa begi lake umbebee

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,653
Hellow

Nahis baadhi ya hawa dada zetu wana 100 ways of exploiting and using men, kwa selfish reasons zao.

Juzi Juzi kuna mdada ambae ni classmate wangu nlimtembelea ghetto kwake FOR THE VERY FIRST TIME nikamkuta yupo na rafiki yake (huyo classmate sijawah kumtongoza na cna mpango huo). Kufika pale tukapiga story mbili tatu.

Sasa rafiki yake huyo classmate nlieenda kumtembelea alikuwa na mzigo ambao aliniomba nimsaidie kubeba na mm nkambebea tu kiroho safi without a second thought baadae akaniambia, sorry kukubebesha mzigo mwanaume atakula kwa jasho etc etc.. Let's call uyo dada alienbebesha mzigo dada "Y"

Leo tena mchiz mwingine nlipokua napiga nae story kaniambia kuwa kamsaidia yule yule dada Y kumbebea mzigo, cha ajabu kwenye iyo situation walikuwa wadada wawili na mwanaume mmoja, huyo mdada alieubeba for the first tym akaambiwa auvue then ampe huyo mkaka.. Mind u huyo mdada alieuvua hakulalamika kuwa mzigo ni mzito kwake.

Many days ago tena mdada mwingine tofauti alinipa handbag nimsaidie kupeleka darasani wakati yy akienda chooni

Inaonekana ni tabia ya uyo dada Y kuwafanya wanaume kuwa ndo manamba wake wa kumbebea mizigo na i have realized kuwa nlifanya mistake kubwa ya kumsaidia kubeba mzigo.. Na sielewi nia yake nini haswa, i wonder whether she is an entitled bitch au... Coz kwa sie wanaume sidhani kama utamuomba demu hata kama co demu wako, akusaidie kubeba kitu hivi hivi tu unless umekwama sana.

Sahiv nikiombwa msaada wa kubeba mzigo wa demu ni mwendo wa NO maana hakuna namna..
 
Hujajitambua kumbe
kama mdada ana kawaida ya kukubebesha mabegi na mapenzi yake hakupi..
hujui kuwa nafasi yako hapo ni 'kubebebeshwa mabegi'?

Kaka tunajifunza kutokana na makosa The Boss
 
Last edited by a moderator:
Jifunze kutongoza bila kuwagandaganda na kuwafuatafuata
kuwa short and clear....

kuwafuatafuata huku hauko clear unataka nini mwisho ndo hivyo tu unabebeshwa tu mabegi..

Mkuu ukisoma post yangu vizuri mm genuinely sina interest nao, tena uyo mdada nlimtembelea coz nlikuwa nimeboreka weekend, na cjawah kuwaonesha nia ya kuwataka kimapenzi The Boss
 
Last edited by a moderator:
Hapana mm mbona kuna kaka kila tukitoka na mzigo lazima atanipa nimbebee sio boyfriend wala nn !hapo vipi sasa
 
kwa macho ya kawaida waweza dhani umebebeshwa begi kumbe kwa macho ya ndani umebebeshwa uchawi na mikosi. Epuka kubeba vitu usivyovijua
 
mbona anakubeba wewe kwann unaona noma kubeba kamkoba tuu badilika ni sehemu ya upendo
 
Hellow

Nahis baadhi ya hawa dada zetu wana 100 ways of exploiting and using men, kwa selfish reasons zao.

Juzi Juzi kuna mdada ambae ni classmate wangu nlimtembelea ghetto kwake FOR THE VERY FIRST TIME nikamkuta yupo na rafiki yake (huyo classmate sijawah kumtongoza na cna mpango huo). Kufika pale tukapiga story mbili tatu.

Sasa rafiki yake huyo classmate nlieenda kumtembelea alikuwa na mzigo ambao aliniomba nimsaidie kubeba na mm nkambebea tu kiroho safi without a second thought baadae akaniambia, sorry kukubebesha mzigo mwanaume atakula kwa jasho etc etc.. Let's call uyo dada alienbebesha mzigo dada "Y"

Leo tena mchiz mwingine nlipokua napiga nae story kaniambia kuwa kamsaidia yule yule dada Y kumbebea mzigo, cha ajabu kwenye iyo situation walikuwa wadada wawili na mwanaume mmoja, huyo mdada alieubeba for the first tym akaambiwa auvue then ampe huyo mkaka.. Mind u huyo mdada alieuvua hakulalamika kuwa mzigo ni mzito kwake.

Many days ago tena mdada mwingine tofauti alinipa handbag nimsaidie kupeleka darasani wakati yy akienda chooni

Inaonekana ni tabia ya uyo dada Y kuwafanya wanaume kuwa ndo manamba wake wa kumbebea mizigo na i have realized kuwa nlifanya mistake kubwa ya kumsaidia kubeba mzigo.. Na sielewi nia yake nini haswa, i wonder whether she is an entitled bitch au... Coz kwa sie wanaume sidhani kama utamuomba demu hata kama co demu wako, akusaidie kubeba kitu hivi hivi tu unless umekwama sana.

Sahiv nikiombwa msaada wa kubeba mzigo wa demu ni mwendo wa NO maana hakuna namna..

kakuona wakawaida kwak ndo maan unapewa kubeba mabeg km robby kishoga
 
You are not alone. Take a deep breath.... & Chill out
 
Attachments

  • 1445013243458.jpg
    1445013243458.jpg
    21.9 KB · Views: 378
Hizo habari za kubeba mabegi muulize zaidi Dr. Wa Mihogo ana uzoefu wa kutosha.
 
haya mambo kama hujazoea kama mimi ni shiida,, mi nlibebewa juzi yaani kidogo nilie sijazoea mtu kabeba jipochi tena yuko comfortable kila saa namwambia lete umechoka duu kidogo nimwambia tangulia naja, sema inaongeza vijipenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom