Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
Akili ipo apo chini. sugua hicho kitumbua mpaka kiungulie basi ushaishi nao kwa akili
[emoji23] [emoji23] hii nahic ni akili ya mwafrika....Akili ipo apo chini. sugua hicho kitumbua mpaka kiungulie basi ushaishi nao kwa akili
Unaachaje kushawishika kirahisi ilhali udhaifu wenu tunaujua na mbinu za kuwashawishi tunazo??Usishawishike kirahisi..
Sisi ndio tunajua weakness zenu.....Tunatakiwa tujue Weakness zao
Kwakweli muachieni tu Mungu, nyie kwa akili zenu hakika hamtuwezi... Amen!!Nyie ni viumbe hatari sana.... Huwa siwamalizi nikiwatizama.. Mpaka sasa tumeamua kumuachia Mungu na kamsemo ketu "MUNGU ANAWAONA"
WanajiendekezaNyie ni viumbe hatari sana.... Huwa siwamalizi nikiwatizama.. Mpaka sasa tumeamua kumuachia Mungu na kamsemo ketu "MUNGU ANAWAONA"
Wateule wanaeza ilo, kuish nao kwa akil maana s unapakumbuka pale Yesu anasema waleo walio wangu wasikiapo saut yang watetemeka!... Ivo kuna uzao wake na uzao wa nyoka kama kaini.
Kweli..wanawake wa kizungu..hawako hivyo[emoji23] [emoji23] hii nahic ni akili ya mwafrika....
Kwa hiyo nyinyi mnashilikiana na shetani kuwaharibia wanaume??Unaachaje kushawishika kirahisi ilhali udhaifu wenu tunaujua na mbinu za kuwashawishi tunazo??
Samson alikua na moyo mgumu ila dalila alimuingiza kingi.....
Mkizijua..mnazitumia kwa faida ya nani???Sisi ndio tunajua weakness zenu.....
Sema haujalogwa...ukimpenda utaishi naye kwa akili...labda kama ndio unaanza mapenzi.ukiona unaishi nae kwa akili,jua bado hujampenda
Pamoja na kuishi kwa akili umeagizwa kula kwa jasho.... "Kweli wanaume mmeumbwa mateso "Mungu nae fundi wa tafsida, ishi na mwanamke kwa akili alimanisha wapigeni miti then fanyeni mambo mengine acheni ufala wa kuhonga na kuhudumia mnaonekana malofa.
Hyo sio akili, ni nguvukwani mkuu kuishi nao kwa akili si hata kupiga,ni moja ya nyenzo za kuishi nao kwa akili?
ata nyie skuizi mnakula kwa jasho, na bado mnablid kila mwezi na kuzaa kwa uchungu. yupi ana afazali apoPamoja na kuishi kwa akili umeagizwa kula kwa jasho.... "Kweli wanaume mmeumbwa mateso "
Kubreed Mungu alituumbia hvo. Na hata hvo hatuoni ugumu ktk hlo.ata nyie skuizi mnakula kwa jasho, na bado mnablid kila mwezi na kuzaa kwa uchungu. yupi ana afazali apo
Hakika umebarikiwaMi niliamua KUJITOA AKILI, NA KUZIKANA GPA ZANGU ili niishi nao vzr!
Hujui kubleed ni afya? Kila mwezi tunachange oil, We jiulize kwanini nyie mnatangulia kufa zaidi kuliko sie.....ata nyie skuizi mnakula kwa jasho, na bado mnablid kila mwezi na kuzaa kwa uchungu. yupi ana afazali apo
Hujui kubleed ni afya? Kila mwezi tunachange oil, We jiulize kwanini nyie mnatangulia kufa zaidi kuliko sie.....