Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Tuskie tu na kuona kwenye mamovie watu wanavotekwa kuteswa na kuuliwa.
Mungu ataleta kheri yake.
Mungu ataleta kheri yake.
Mkuu kwani unajibu lako kichwani? Maana hujauliza hata kashikiliwa na nani
Hahahaa Movie Hizi...zitawauaKiuhalisia vyombo vya dola vilipaswa japo kutoa helicopter moja ambayo Inge survey kwenye anga huku wengine wakiwa barabarani wakiwasiliana na kutoa ripoti kutoka juu wakionacho,labda ingesaidia kwa haraka.
Kwa kifupi usalama wa taifa na jeshi la polisi ni la kufumua kabisa. Wamejazana wenye vitambi na wanapeana nafasi kwa ukabila na undugu.
Nakumbuka kipindi Fulani helkopta ilitolewa kwenda kukamata gongo na ikaambulia vijana waliokuwa jando, ndo maana tunashangaa kwa nini haikutumika kumtafuta Mo? Tuhitimishe tu, (WANAJUA WALIKOMPELEKA)Helicopter itasaidia nn sasa..kumbuka ni siku ya 4 leo
SRKLWewe bwana unahangaika na speculation:.
Yani mm nikuteke then nitoe helcopter, daah.
Hujawaona wapo baharini wameenda kula upepo masaa yaende?
[emoji102][emoji102][emoji102]Mo ajatekwa. Wamemshikilia
itasababisha TISI tawi la JF kutaharuki!kauli hii....
Basi tutulie maana tushaambiwa atapatikanaKwani hawajui nani kamteka na wapi kapelekwa?
Mambosasa amekwisha kusema Mo ametekwa na Wazungu wawili, Raia wa Kigeni, na kuna mahali yupo na atapatikana!
Umetoka.kucheck movie ya Rambo eehKiuhalisia vyombo vya dola vilipaswa japo kutoa helicopter moja ambayo Inge survey kwenye anga huku wengine wakiwa barabarani wakiwasiliana na kutoa ripoti kutoka juu wakionacho,labda ingesaidia kwa haraka.
Kiuhalisia vyombo vya dola vilipaswa japo kutoa helicopter moja ambayo Inge survey kwenye anga huku wengine wakiwa barabarani wakiwasiliana na kutoa ripoti kutoka juu wakionacho,labda ingesaidia kwa haraka.
Kwa kifupi usalama wa taifa na jeshi la polisi ni la kufumua kabisa. Wamejazana wenye vitambi na wanapeana nafasi kwa ukabila na undugu.