GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,007
- 712
Uwezo wa Mungu ni mkubwa, unaweza pata msaada kutoka sehemu usiyotegemea kabisa ukatatua tatizo. Kumbe huyo aliyetoa msaada ameongozwa na Mungu aje akusaidie.Mfano uko hospitalini unatakiwa ufanyiwe oparesheni ya jicho na kuna kiasi fulani cha fedha kinahitajika, unaeleza tatizo lako usaidiwe; matokeo yake wanakuambia Mungu atakusaidia utapona. Sasa ataponaje bila kupata matibabu?