Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Binadamu wanachangamoto kweli, unamweleza shida zako ukifikiri atakusaidia ata kwa mchango kidogo; matokeo yake wanakushauri Mungu atakusaidia.
Sasa mtu ana njaa, hitaji lake kwa sasa ni chakula; sasa hapo Mungu atamsaidiaje, badala ya wewe kumuwezesha kula? Urafiki ni kutatua kero iliyopo, na si kuhamisha majukumu kwa muumba.
Hii kuhamisha majukumu ni dalili ya uchoyo.