Ishi na mwanamke kwa akili nyingi

Ishi na mwanamke kwa akili nyingi

hii mbaya sana, duh mie hg tu namuogopa sasa mama wa kambo tena.....kawaonea watoto jamani.....😡
 
Pamoja na udhaifu wa huyo mwanamke lakin mwanaume pia alifanya makosa. Hakuna kitu kinauma ktk mahusiano kama kudharauliwa, kugundua kuwa mwenzako hakujali, na uchepukaji

Hivyo pamoja na kwqmba uamuzi aliofanya mwqnamke syo sahihi, na huyo mwanaume naye ni mpumbavu

Mkeo analea watoto wa kambo bado unamnyanyasa? Kama angekuwa hamtaki si angemwacha tu na maisha yake kuliko manyanyaso
 
Back
Top Bottom