Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Hahaha5. kichapo
Naona hii factor haujaiweka wakati some how inasaidia.
Hahaha5. kichapo
Naona hii factor haujaiweka wakati some how inasaidia.
Yaani I am so romantic mpaka it hurts. Nadekeza sana ila babygirl anajua kuwa sitaki upuuzi, mimi mkali nikiwa crossed. Kama Pac alivosema "I can be a fella if you let me, a motherfcuker if you do upset me!". Ndio mimi sasa. Full kudekeza vizawadi, outings n.k.Ina maana mkuu huwa wewe binafsi humwambii my wife kuwa "I love you" hata mara moja? Hide my ID please
Beki 3 haolewi? Elezea.zaidiNB:
This theory does not apply to Wives who once were House Maids (mabeki 3) hawa utawapa vyote na kuishi nao kwa akili sana lakini lazima watakupasua kichwa tu. Ndo maana waswahili wanasema beki 3 haolewi!!!
[HASHTAG]#Refer[/HASHTAG] Joyce Kiria case#