goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Ishi na mwanaume kwa mahesabu.... 


Hapa ndipo ulipogongea msumari haswa.Ukitaka kuishi maisha mazuri na mwanamke hakikisha hakusomi akakumaliza
Ujitahidi ajue baadhi ya misimamo na mingine asijue abaki na swali sijui akinikuta nimefanya hivi atanifanyeje
Hakuna shida kubwa anayoipata mwanamke kama kushindwa kukufaham hadi mwisho.
Maana anaweza jaribu kufanya jambo harafu ukareact tofauti hapo unamfanya awe insecure kifikira , Ukifanikiwa kuivuruga fikira yake daima hisia zake zitashuka na hisia zikipaa fikira inagoma yaani anaweza date kabisa akakubali ila akifikia kudu network inafell , na ke anafanya ngono kwa hisia no hisia no shwelele
Labda utakuwa unaongelea wale jirani zangu wa Tarakea.Ishi na mwanaume kwa mahesabu....![]()
Eti si nikweli eeee?
Huo moyo wako naushangaa. Kabisa Unatoa kibali!!!!! Yale mambo kuyatimiza inawezekana mkuu, wala huwezi gongewa. Ni kupangilia tu. Ndio unatafuta hela, basi ukirudi nyumbani "kuwa nae". Sio umefika nyumbani bado bize na simu had kitandani. Hiyo mipango ya hela had usiku mnene!!! Hakuna mazungumzo. Hakuna kumsikiliza. Huwa hatupendi mkuu. Basi tuEti si nikweli eeee?
tupo pamoja mkuukwa nini uwe mtumwa???
wacha wamgonge.....
na mimi nitagnga wengine, after all mwanaume anahitaji kitu kimoja tu kutoka kwa mwanamke...
Unafujo weweDoh!

Kwanza nimekupa like ambayo imefikisha idadi ya elfu moja,pili asilimia kubwa ya viumbe nyie hata mkipewa kila kitu bado kuna sababu itawafanya mtake kugegedwa nje.Huo moyo wako naushangaa. Kabisa Unatoa kibali!!!!! Yale mambo kuyatimiza inawezekana mkuu, wala huwezi gongewa. Ni kupangilia tu. Ndio unatafuta hela, basi ukirudi nyumbani "kuwa nae". Sio umefika nyumbani bado bize na simu had kitandani. Hiyo mipango ya hela had usiku mnene!!! Hakuna mazungumzo. Hakuna kumsikiliza. Huwa hatupendi mkuu. Basi tu
Vipi mamii,uzi una ukakasi?Doh!
ukitaka wa peke yako fuga mbwa .....Toa perpendicular weka parallel
Kama unataka wako peke yako kata mgomba weka ndan, asigombaniwe mtaani
There is no theory postulate human behavior, sio mwanamke ata mwanamme, mke wake anaweza akawa mzur Shep en gud sex still atachepuka tu
Asante kwa likeKwanza nimekupa like ambayo imefikisha idadi ya elfu moja,pili asilimia kubwa ya viumbe nyie hata mkipewa kila kitu bado kuna sababu itawafanya mtake kugegedwa nje.
Mfano mtakaa na mashoga na kuanza stori labda wanaume wa kabila fulani ni hodari sana katika kukata miuno,au watu wenye ulemavu (wale wenye mguu mmoja mwembamba na mwingine wa kawaida) ni mafundi kunako kugegeda basi mnajikuta mnasisimka miili yenu na kutaka kulithibitisha hilo,sasa mpaka hapo hujagongwa kweli?
. Ila, kwa anayethamini mwili wake hawezi chepuka mkuu, hata iwejeHahahahaha dah JF hatari!Uspojoelewa, ndio nini.....
Ina maana mkuu huwa wewe binafsi humwambii my wife kuwa "I love you" hata mara moja? Hide my ID pleaseUkitaka uishi maisha ya unyonge na ufukara basi jifanye kutaka kumpendezesha mwanamke. Hawa dada zetu kama ni mchepukaji atachepuka tu kwa kisingizio chochote. La msingi ni wewe mwanaume kuwa na misimamo tena uwe hueleweki dish halikamati. Ni afadhali ajue kuwa mwanaume wake ni bandidu na siku akijua kuwa anachepuka ndio ndoa au mahusiano basi. Wanawake wote hawa kwa nini uumize kichwa na mmoja. Kwangu mimi mwanamke ni msaidizi kwa mwanaume katika kumzalia watoto tu. Akileta upuuzi napiga chini.