hahahaaa!! mkuu sio kwamba alikuwa hajazoea kuogelea na madem?
Unajua ukipata ule ubaridi wa maji thn mtu mwenyewe unapata mwaka mara mbili ndo yanatokea hayo
Weee...
lakini hata kwa mdada pia kumetuna
Hiyo pointer au?
kitu chenyewe.. iko inauliza '' where is the entrance gate (kwa hasira sana..!!)''
niulize tu malikia wangu!!
si unajua tena bila wewe ningekuwa nishaugua ugonjwa ule wa nanii!! lolz! nakuja:A S-alert1: