Ishauri serikali yako

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Baada ya matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2010 kutoka na kuonesha kuwa makumi kwa maelfu ya watoto na wadogo zetu kufeli vibaya kumekuwa na hoja mbalimbali za nini kifanyike ili kuwaokoa maelfu hawa wasio na hatia yoyote.

Great Thinkers, mnadhani serikali inaweza kufanya nini/kuchukua hatua gani katika kuwanusuru wahanga hawa?

Nb: Tusilalamike, tujadili suluhisho kwa kuwa tatizo tunalo mkononi mwetu. Ninaamini, serikali ina jicho kali sana. Watasoma maoni yetu na wanaweza kuyafanyia kazi kama wataamua
 
Wasome maoni wakati hao watendaji wakuu watoto wao hawasomi kwenye hizo shule zenu? Hawaweai.
 
Back
Top Bottom