Ishara zipi zinamaanisha matamanio kimapenzi?

Ishara zipi zinamaanisha matamanio kimapenzi?

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
1)Unakutana na mtu anakukonyeza alafu anajifanya mdudu kaingia machoni.
2)Staili mpya ya midume na mijike kutoa ulimi kwa kuuroll.
3)Kuuma mdomo kistaili flani hivi.


Endeleeni kuongeza nyingine.
 
Kutema mate chini..... Pindi anapokuona.. Sana sana ni wasukuma
 
Sijaona thread ya viwanda toka asubuhi!

Ya mapema kabisa ilihusu ngono, nyingine ikahusu siasa, nyingine ngono,ngono na mapenzi. Hapa viwanda hakuna
Viwanda kwenye jukwaa la mapenzi?Relax,hata hao wanaovihubiri hawajui watajenga Vipi vyakwao wanazindua vya wengine tu
 
Habari zenu,

Nimekutana na ishara nyingi sanaaa za kimatamanio kutoka kwa wanawake...je ni ishara gani wewe huwa ni alert kwamba huyu mwanamke atakua ananihitaji kimapenzi.Unasomaje hii code/ishara?
 
1)Unakutana na mtu anakukonyeza alafu anajifanya mdudu kaingia machoni.
2)Staili mpya ya midume na mijike kutoa ulimi kwa kuuroll.
3)Kuuma mdomo kistaili flani hivi.


Endeleeni kuongeza nyingine.
Hizi style ni za binadam au wadudu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom