Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,625
Huyu jamaa ametupika kamba sana. Yaani anaongea simple tu.Asa huyo mwenye ujauzito akaolewe na nani?
Oa mwenye ujauzito ukimuaacha unamuharibia future, direction, her respect and reputation
Kuna songi la Bele Nine la " Amerudi" ndio scenario kama hiyo.
Hawa madogo wamerudi likizo fupi ya Pasaka basi hovyo tu.