Isha mashauzi amekua mtamuu

tapatalk_1500494884416.jpg
 
Dhaaa!! Huyu shoga
Karud tena jf

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mleta mada samahani naomba kujua jinsia yako. Me au Ke? Sio kwa ubaya mkuu kuna wakati nashindwa kutoa maoni yangu sababu ya kutojua jinsia yako.
 
Vibaya mwanaume kumuita mwanamke na mwanamke kumuita mwanaume. Tujuze najau tupo wengi tunaotaka kujua jinsia yako.
 
Mleta mada samahani naomba kujua jinsia yako. Me au Ke? Sio kwa ubaya mkuu kuna wakati nashindwa kutoa maoni yangu sababu ya kutojua jinsia yako.
ukijua itakusaidia nn mkuu?

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
ukijua itakusaidia nn mkuu?

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Si nimeshasema sababu ktk post yangu. Nimesema kuna wakati unaweza kuhitaji kutoa ushauri flani ambao ni mahususi kwa Ke tu au kwa Me tu. Utanisamehe kama nimekukwaza kwa swali langu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom