Mkuu
ritz huyo mwenye nyesusi unayemuita mshumaa ni nani?
Duh mkuu
King Kong III inaonekana wewe ukilala ukiamka unaota peoplesssssssssssss!!! Umekuwa kama kuruta wa jeshi. Ukiingia jeshini unafundishwa utii na moja ya njia ya kutii ni kutamka moja!! Basi kila kitu wewe moja. Yaani kuruta anachokijua ni moja tuuuu! Afende akikutukana wewe ukisikia tu sauti unatamka moja! Nadhani na wewe ukisikia ama ukiona tu kitu chochote chenye uhusiano na CDM unatamka peopleeeeeeeeeeees bila kutafakari.