Utendaji wake wa kazi haukuwa Mzuri kwa baadhi ya Viongoz wa ngaz zake
kuna kitu najiuliza sipati majibu kabisa, adui akikuletea keki ichunguze vizuri kwanza usiibugieMmmh kirahisi tu hivyo wameamua kumrudishia ili hali walidhamiria kumuondoa na gari kanyang'anywa hii huruma imetoka wapi? Na kwanini walifanya vile?
Meya huyo alieleza kuwa akiendelea kupiga kelele atamzuia Rais kufanya kazi kwani anampenda na ni rafiki yake kwani ndiye aliyemfanya awepo hapo mpaka sasa.
Matumizi mabaya ya gari la umma.. Huenda alilitumia kubebea majani ya ng'ombe!
Kosa lake kubwa ni kuwa mpinzani
mbona watanzania hatuna imani na meko lakini anaendelea tu kupuyanga ,kwanini wanahangaika na huyu meyaUtendaji wake wa kazi haukuwa Mzuri kwa baadhi ya Viongoz wa ngaz zake
Hawakua na imani nae,.Yote yalianzia huko