OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.
My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.
Mimi nimeamua kuendeleza huu mjadala kwa lugha hii ninayoifahamu zaidi, ambapo sitolazimika kutafsiri mawazo yangu kutoka lugha nyengine kabla ya kuyatoa.
Kwenye hizo red:
- Unataka kusema kuwa Zitto amezungumzia suala la mafuta ili kuwaridhisha Waislamu na yeye amekuwa akilalamika kuwa ni "mhanga wa dini au mfumo wa kikristo"? Hayo ni mawazo yako au umetafsiri mawazo yake badala ya maneno yake?
Kwenye blue
- Kukaa kimya na kusubiri muda muafaka: Tatizo kubwa kwa TZ na Watanzania, kwa kuogopa kwetu kusema ili tusiwakere akina nani, na kusubiri wakati muafaka wa kusema na kutenda, ndiyo yaliyotufikisha hapa. Silence yetu juu ya kero za Muungano, tayari tuna miaka 48 tangu tuungane, na bado tunatafuta muda muafaka wa kuzungumzia kero na kasoro za Muungano. La mwisho ni uamuzi wa Raisi wetu kuwa tujadili katiba ya Muungano bila ya kuugusa Muungano, tusubiri muda muafaka.
Mimi kama wewe, sikubaliani na kupingana na Zitto juu ya madai yake ya mafuta, pia sitojadili kama yeye ni "mjinga au anatafuta umaarufu", lakini ninakubaliana naye kwa kuthubutu kusema pale wengine wanaponyamaza kwa kisingizio cha kila siku cha kusubiri muda muafaka. Na kwa hili ninakubaliana naye zaidi, hata kama mafuta hayahusiani moja kwa moja na vurugu za ZNZ lakini chanzo chake ni kero za Muungano; ambazo zilianza usiku wa Jumamosi na mpaka sasa, hakuna public figure yeyote - Maraisi wawili, Waziri Mkuu, Makamo wa Raisi watatu, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Waziri wa Mambo ya Ndani..... wote wako kimya, wanasubiri muda muafaka.
Ikiwa kukaa kimya si ujinga, pia kukaa kimya kwa kero za Muungano si werevu.
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.
My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.
My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.
My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.
Kama muungano huu haujapata kukubalika au kukatalika kwa referrendum, haya matatizo mengine hayataisha.
Na nina suspect hata referrendum haitamaliza manung'uniko yote. Lakini angalau baada ya referrendum, serikali ikiamua kuwafanyia "wachochezi" wanaoandamana kwa fujo, inaweza kuwa justified kwamba inatetea muungano uliokubaliwa na kubarikiwa na wananchi.
At this point hata hatujui watanzania wa pande zote asilimia ngapi wanaukubali muungano. Kwa hiyo haya maswali mengine ya sijui mafuta yawe issue ya muungano au la ni moot, maana hatujathibitisha uhalali wa muungano wenyewe kwanza.
Tuuhalalishe muungano kwa referrendum, tujue wananchi wanautaka au hawautaki. Kama hawautaki tuuvunje, kama wanautaka ndipo hapo tunapoweza kujadiliana mafuta ni swala la muungano ama la.
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.
My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.
sisi ni walalamishi.... hata mtu akipata 80% majority decision, basi hiyo 20% itakua vocal kuliko chochote
Serikali ya CHADEMA ina mpango madhubuti kabisa wa kuimarisha Muungano na kuhakikisha kuwa kero zote za Muungano zinaondolewa katika mwaka wa kwanza na kuachana na utaratibu wa kimazingaombwe unaofanywa na serikali ya CCM na kutishia Muungano wetu. Serikali ya CHADEMA itachukua hatua zifuatazo katika kuiwekea mazingira mazuri kwa maendeleo na katika kuimarisha Muungano:
Suala la mafuta litaachwa mikononi mwa Serikali ya Zanzibar hasa tukizingatia kuwa visiwa hivi vina raslimali ndogo sana za kiuchumi. Masuala ya raslimali nyingine yatajadiliwa ili kuhakikisha kuwa Zanzibar inanufaika na raslimali za Tanzania na vile vile inatoa mchango wake sahihi katika uchumi wa taifa.
C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.
Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:
Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.
Mind you, Zitto, the issue here is not your position with regard to oil, gas or nay other resource, but on the timing! is it the rightful time for you and anyone else to 'pour petroleum on the ongoing fire?' Does it not seem like you're instigating them (Islamist fundamentalists/zanzibaris) to further take their stand and that things would be at its worst?
Zitto,
Surely everyone is entitled to his/her opinion. But any policy opinion had to have some reasoning behind it. May be it would be better to let us know what was your reason(s) for the position you took, so that both your supporters and opponents might decide whether to agree or disagree with you.
Secondly, probably you can as well elaborate what you meant by the so called 'commercial level' and the 'upstream level'. Your policy views might hold water if clearly understood.