Is your work so stressfull? list of topten stresfull jobs in the world

"UKOCHA' Wanakipato kikubwa ila wanapressure mpaka basi! Muulizeni Jose Mourinho, anapokutana na club kama Barcelona, anatamani cku zigande! Mwone Alex Furguson alivyokuwa akitetemeka mikono alipopambana na vijana wa Pep Guandiola. Wenger ndo anakaribiaga kuzimia kabisa Man United wanaposhambulia lango la Arsenal. Mwone mzee Rekdnapp anavyotia huruma wakati spurs wanapokuwa ktk wakati mgumu. Pa1 na hayo kazi ya ukocha kipimo ni mafanikio, timu isipofanya vizuri unapigwa chini...kwaogu mimi kuwa kocha ndo kazi yenye pressure kabisa duniani
 
Back
Top Bottom