Yalishanikuta isipokuwa kwangu kulikuwa na element moja ambayo iko opposite na yako. Wao walipretend kuwa maadui!! Kabisaa na hata mtu wangu alifikia hatua ya kunipiga marufuku mie kuwa karibu na huyo mdada ilhali huyu mdada naye kila akiniona na huyo chalii ananinunia hata salamu7 kuitikia inakuwa kazi na tunapokuwa na yeye tu heshinambia kuwa hamwamini huyo mkaka! phweee siku nilipowakuta nilishindwa hata kupumua, nikaishia kuwafungisha ndoa ya mkeka kimoyomoyo.
dahhh
Thread nzuri sana..
haijawahi kutokea kwangu au kwa mtu
yeyeto wa karibu yangu ..kusoma tu kwenye magazeti ya udaku
kwa hiyo sina mengi ya kusema.... siku njema.
nadhani wanawake kama kuna kaugonjwa hv.wasichana wengi sana wanapenda sana wapenzi wa marafiki zao.sijui ni wivu sijui ni labda unavomuhadithia mazuri ya mpenzi wako na yeye anatamani kufaidi kiukweli i dont know why?kwanini usiruhusiwe kid sis? Lol.... Karibu saana dear....
nadhani wanawake kama kuna kaugonjwa hv.wasichana wengi sana wanapenda sana wapenzi wa marafiki zao.sijui ni wivu sijui ni labda unavomuhadithia mazuri ya mpenzi wako na yeye anatamani kufaidi kiukweli i dont know why?
Mi mi personaly siku moja nilikuwa na rafiki yangu wa kiume ni class mate since o level hadi college ni rafiki yangu sana sana yupo na mwenzake wa kiume pia huyo mmoja tumezoeana zaidi na huwa ananiita mpenzi kiutani lakini basi huyo rafiki yangu anakaa urusi alikuwa amekuja holiday siku moja wkend akaanza kumsumbua mkaka amtoe out basi yule akanipitia kama kawa akaniambia na rafiki yako amesema tumpitie basi alikuwa na noah mi nilikuwa nimechoka nipo nyuma alivokuja paleyule mdada akamshika yule mkaka akaanza denda sijui mnaita kijana anajitaidi kumtoa cause si nilikuwa nyuma pale nawatch movie.............................. Nakuja

Mhhh AshaDii asante sana kwa thread nzuri
Japo haijawahi nitokea ila sina ubishi hapo kuwa something fishy kinakuja hapo kati yao hao
Ila ngoja kwa wale walikwishayaona waseme
Ila hapo ishawahi karibia kuvunja ndoa ya mtu
alidhani ni mpenzi wangu? Mimi mpenzi wangu huwa simtambulishi kabisa hadi nimhakikishe ni realy kabisa sasa hamna ambae alishawai kufikia hatua iyo wote wanapotelea njianiin blue daima wadada tunataka a man who treats you right.... And if your man treats you rite hasa mbele ya rafiki zako then believe me you waweza kuta kundi zima la rafiki zako wako in love with your man.
Hio para ya pili sijaelewa... Yaani rafiki yako alimdandia mpenzi wako na denda juu?
Sred nzuri sana mpendwa. Ngoja nianze kujifanyia uchunguzi then ntakujibu kama ni safe or not... Asante kwa kutushtua wifi.