Is your Ex lasts for the rest of your life?

Nakupai na nakuthibitishia Usipokuwa Makini wewe Mwenzio Tayari kuna Kitu amekiona kule ambacho hakija mfurahisha ambacho wewe unacho na amekimiss.

Narudia tena na Nakuhakikishia Mwezi huu hautapita hamjarudiana Kusex.

Tuombe tu uwe mkweli kwa Mrejesho.

Ukarimu wa Mke wa Mtu kwa Ex wake haujawahi kumuacha Mwanaume wa zamani salama hasa ikiwa huyo Mwanaume hajaoa.

Wote tupo Chini ya Dunia hii na utauja thibitishia huu Ujinga unaotaka kuufanya kwa Ukarimu wa Mke wa Mtu aliyekuvuliaga pichu huko nyuma

HAHAHAHHA umenena vyma mkuu htari sana aic,na siku akimuachia siku moja tu afunguke utaskia atakavyofunguka kuhusu mumewe wa ndoa kifupi anakudangaya MNO kua anaipenda NDOA yake,unaipenda ndoa yako unamkumbuka ex wako how comes,YAAN HUYO ANALIA MOYONI,ila sasa ni wewe kimjenga na ndoa yake usisaidie itetereke kisa wewe
 
Ahsante sana
 
Ukiachana na mpenzi wako awe wa kiume au wa kike iwe mmeachana kwa wema au ubaya ni kosa sanaa kurudiana kufanya mawasiliano naye ...

Kwa maana mawasiliano yakizidi upendo ndipo unaanza pili ...

Heshima kwa mwenza wako mpya na upendo utapunguaa hapo after three months au six month's mtarudiana na kuanza kugegedana tuuu

Cha msingi mkiachana kila mtu na shughuli zake na maisha yake ila mkikutana barabarani ni kusalimiana tuuu

Hayo masuala ya kupigiana simu hayoo yatasababisha kuvunja au kupunguza upendo kwa mwenza wako...

Nasema acha kabisa

Tabia ya mawasiliano na ex wako

Ukiachana anza new chapter of life kama hujawahi kuwa kwenye mahusiano
 
Mtaishia kugegedana tu..Hayo mahusiano ni wachache sana wanabaki salama

Na hao wachache tunaoaminishwa huenda ni kwa vile wameamua kutokusema ukweli kwamba wanamahusiano zaidi ya urafiki.
 
Ukiachana na mpenzi wako awe wa kiume au wa kike iwe mmeachana kwa wema au ubaya ni kosa sanaa kurudiana kufanya mawasiliano naye ...

Kwa maana mawasiliano yakizidi upendo ndipo unaanza pili ...

Heshima kwa mwenza wako mpya na upendo utapunguaa hapo after three months au six month's mtarudiana na kuanza kugegedana tuuu

Cha msingi mkiachana kila mtu na shughuli zake na maisha yake ila mkikutana barabarani ni kusalimiana tuuu

Hayo masuala ya kupigiana simu hayoo yatasababisha kuvunja au kupunguza upendo kwa mwenza wako...

Nasema acha kabisa

Tabia ya mawasiliano na ex wako

Ukiachana anza new chapter of life kama hujawahi kuwa kwenye mahusiano
Mkuu umeongea kikubwa Kwa hisia. binafsi nakuelewa
 
excellent
 
Ex gf au bf ni tulizo pale ndoa inapokuwa imeingia na wenge ni wafariji wazuri tuendelee tu kuwaamini binafsi siwezi!!!!!!!!!!!!?????
 
wengi nimesikia wanafanya kama hvyo ulivyoshauri
 
Mkuu,kwa vyovyote anatamani mkumbushie.Tazama anavyoenda hatua kwa hatua unajua. Alianza na msg then akatamani muongee then anatamani akuone then after atatamani umugegegede
 
Having an ex as your friend is like using a sugarcake as your walking stick.. Once you feel thirsty you will eventually chew it my friend...
 
Back
Top Bottom