Is your Ex lasts for the rest of your life?

Is your Ex lasts for the rest of your life?

Kwani kuna ubaya mtu kupitia vitabu vyake alivyosoma zamani? Anyway natania tu...Weka mbali na watoto. .Nakukumbusha hakuna mkate mgumu Mbele ya CHAI!
Mla huliwa lakini.
 
i hate him so much .i cant wait to celebrate in his funeral nitakod band ya polisi
Kumchukia mtu kwa kiasi hiki unajiumiza mwenyewe ni sawa sawa na kunywa sumu wewe utegemee afe mtu mwingine jifunze kusamehe kwa faida yako wewe mambo mazuri yatatokea kwako.

Kukasirika ni kawaida Miss ila imetosha
 
simchukii ila sina tyme nae
 
Ulivyoongea inaonekana ulimuacha wewe wakati yeye bado alikuwa anakupenda! Ni hatari mwanaume kumuacha mwanamke wakati mwanamke bado anampenda. Atafanya chini juu mtaanza kulana kubali au kataa. Huyo wako ana uhanga anataka mliendeleze libeneke. Mara nyingi mwanamke akikutaka huponyoki kuponyoka ni kukata mawasiliano. Endelea na kuchati naye utaleta mrejesho wa kutatuliwa marinda (mumewe atakukamata hata baada ya miaka 10 na rinda lako utakuwa umeliweka rehani). Tuna uzoefu na haya majambo ndugu yangu
kk uzoefu wa majambo gani. hahaaaaa, ya kuweka rinda rehani ama?
 
kk uzoefu wa majambo gani. hahaaaaa, ya kuweka rinda rehani ama?
Ya maex na kuwasiliana na baadaye kuendeleza libeneke. Usisahau mazoea kati ya Me na Ke ndo yanaleteleza kubanjua K. Mimi naogopa kutatuliwa rinda na mtu kama ni mke wa mtu ni marufuku kuwa na mazoea naye hata kuchati.
 
Watu kwa kuhalalisha na wahenga
ha ha ha ha huwa yana busara kizazi hadi kizazi ni kama bible au quraan.

ndio maana sijisumbuagi kujua ya habari za ma EX wa mpenzi nimpatae.
 
Back
Top Bottom