IS yashambuliwa Iraq,kiongozi mkuu auawa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,077
Reaction score
34,848
150513220207_is_leader_killed_iraq_512x288_bbc_nocredit.jpg

Abu Alaa al-Afari anayedaiwa kuuawa na majeshi ya Marekani na washirika wake,kupitia shambulizi la anga.

Waziri wa ulinzi wa Iraqi amesema kwamba kiongozi wa pili wa ngazi ya juu katika mamlaka za kundi la wanamgambo wa dola ya kiislamu IS, ameuawa katika mashambulio ya anga na majeshi ya Marekani kwa kushirikiana na majeshi washirika.

Msemaji wa wizara ya ulinzi wan chi hiyo, ameiambia BBC kuwa Abu Alaa al-Afari aliuawa pamoja na seti kadhaa za wanamgamboa wa dola hiyo katika eneo la Tal Afar lililoko kaskazini mwa nchi hiyo ya Iraq.

Lakini waziri wa mambo ya ndani wa Iraq ametilia shaka juu ya kauli hiyo,nayo Marekani haijathibitisha juu ya kauli hiyo mpaka sasa.

Inaaminika kwamba Al-Afari alichukua madaraka ya kuwa kiongozi mkuu wa kundi hilo la is wiki kadhaa baada ya kiongozi wao mkuu, Abu Bakr al-Baghdadi,kupata majeraha makubwa baada ya kushambuliwa kutokea angani.

Chanzo: BBC
 
150513220207_is_leader_killed_iraq_512x288_bbc_nocredit.jpg

Abu Alaa al-Afari anayedaiwa kuuawa na majeshi ya Marekani na washirika wake,kupitia shambulizi la anga.

Waziri wa ulinzi wa Iraqi amesema kwamba kiongozi wa pili wa ngazi ya juu katika mamlaka za kundi la wanamgambo wa dola ya kiislamu IS, ameuawa katika mashambulio ya anga na majeshi ya Marekani kwa kushirikiana na majeshi washirika.

Msemaji wa wizara ya ulinzi wan chi hiyo, ameiambia BBC kuwa Abu Alaa al-Afari aliuawa pamoja na seti kadhaa za wanamgamboa wa dola hiyo katika eneo la Tal Afar lililoko kaskazini mwa nchi hiyo ya Iraq.
Lakini waziri wa mambo ya ndani wa Iraq ametilia shaka juu ya kauli hiyo,nayo Marekani haijathibitisha juu ya kauli hiyo mpaka sasa.
Inaaminika kwamba Al-Afari alichukua madaraka ya kuwa kiongozi mkuu wa kundi hilo la is wiki kadhaa baada ya kiongozi wao mkuu, Abu Bakr al-Baghdadi,kupata majeraha makubwa baada ya kushambuliwa kutokea angani .chanzo.BBC

duh,afadhali afe tu,ameua waislamu wengi sana
 
safi sana,maliza hao wapiganiaji wa mutume,,hata hawamjui lakini wanampigania
 
Back
Top Bottom