Wanted Died or Alive- Haydar Muzhir Ma'lak Al-Sa’idi,

Wanted Died or Alive- Haydar Muzhir Ma'lak Al-Sa’idi,

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,465
Reaction score
7,863
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa taarifa kuhusu Haydar Muzhir Ma'lak Al-Sa’idi, kiongozi na katibu mkuu wa Harakat Ansar Allah al-Awfiya, kundi la kigaidi linaloungwa mkono na Iran nchini Iraq, kutokana na mashambulizi ya makundi hayo dhidi ya vituo vya kidiplomasia vya Marekani na kambi za kijeshi.
 

Attachments

  • IMG_20260427_161556_365.jpg
    IMG_20260427_161556_365.jpg
    131.1 KB · Views: 15
Intelligence yao haifanyi kazi Kwa uhakika, so inatumika nguvu ya pesa. Mbona kwenye muvi zao wanawadaka tuu bila kuahidi pesa?
 
Back
Top Bottom