Is this the end of CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
yes let it be the end as per your wishes but the TRUTH will always stand at its position.
 
Hakuna anaeshinikiza gesi ibaki mtwara, watu wanashinikiza wana mtwara wafaidike na hyo gesi bla kujali imeuzwa ndani au nje ya nchi, songea wana haki ya kufaidika na mapato ya uraniam kwani hata madhara ya mionzi ya sumu wataibeba wao pekee
 
mafuta yako nchi nzima kwa hiyo hapo una maoni gani kila mtu yabaki kwake awashie vibatari au sio? yasiende kwenye masoko.
 


ENEZA UPENDO,USIENEZE CHUKI penye uongo ukweli hujitenga.
 
Mkuu Ritz ,
Umewatambua wale kule mbali wawili waliojificha wanaangalia ngumi?

Mkuu Chilisosi,

Nimewatambua lakini wanaonekana wakati wowote wanaweza na wenyewe kuzichapa.

Lakini hawa wa mbele sidhani kama atayekubali kupigwa hao wewe unaonaje..
 
Chilisosi nadhani kichwa chako ama kina maji au hujui kitu umeamua kuongea bila kutafakali ama umetumwa sasa nadhani bora tukuache na fikra zisizo kuwa na tija
 

Haya unayoyaleta ulishayawasilisha kabla hatujaingia 2013, vipi huna jipya la kuwasilisha zaidi ya hili na ukomo wa kuifikiria CDM ndo umeishia hapo ndugu. Jitahidi kuachana na mawazo ya kifo cha CDM inachotakiwa ufikirie jinsi gani utamtumika huyo mume mpya uliyejiunga nae.
 
Mkuu Chilisosi,

Nimewatambua lakini wanaonekana wakati wowote wanaweza na wenyewe kuzichapa.

Lakini hawa wa mbele sidhani kama atayekubali kupigwa hao wewe unaonaje..
Hawa wa mbele wanatumia jamii forums kudundana kaka
 
Kweli kabisa Chilisosi wewe hutumwina mtu.Tatizo lako ni mazoea ya kuliwa.hivi chama gani ambacho wewe unaona kina watu wenye fahamu zao na wote wakawa wanawaza mamoja kama mashine zilizopangiliwa (programmed machines).

Chadema hakuna zidumu fikra za mwenyekiti wala 'ndioooo' hata penye uozo kama chama chako ccha magamba. Kwa taarifa yako, mwili mzima lazima utowe taka zake wenyewe ili uendelee kuishi.Bahari nayo kila siku hutupa nje taka zake ili maji yake yawe safi.

Nikuulize habari za Kolimba hivi alifia wapi na kwanini? Hivi mzee Abdu Jumbe yuko wapi na kwanini hasikiki?Kwanini swahiba wenu Maalim Seif aliachishwa uwaziri kiongozi?Mwenyekiti wako kwanini kashindwa kutaja CC yake hadi sasa?

Yale majoka aliyosema mwenyekiti wako yametoka wapi ndani ya CCM? Ama kweli nyani haoni...Subiri CHADEMA TUCHUKUE NCHI 2015 wakati wewe ukibaki na tamaa zako za fisi, kutamani mikona ya mtu ianguke.Jiandae ukaliwe tena sijui kwenye chipsi au uji au wapi utawekwa.
 
Mtu mzima huwezi kujificha kwenye shamba la karanga!mleta mada ni mmoja wa wale wanaonufaika na kuwepo madarakani kwa CCM na huu ni mkakati mojawapo wa propaganda ambazo zimefeli!Badilisha mbinu ndugu!
 
Ulimbukeni ni kitu kibaya sana!!! Huyu ni njaa inamsumbua!! Hivi ccm wanampa sh. ngapi???!!!
 

Mtasubiri sana hadi sugu ziwaoteni makalioni
 

Hongera naona umeanza kampeni ya kushirikiana vibwengo. Nakuhakikishia hutafanikiwa. Uelewa wa Tz umepanda sana. Kalaga baho....wenzako wanasonga mbele.....
 
mafuta yako nchi nzima kwa hiyo hapo una maoni gani kila mtu yabaki kwake awashie vibatari au sio? yasiende kwenye masoko.

Chilisosi you deserve the best. Wanaobisha waangalie ramani. Wajikumbushe map reading enzi hizo wakiisoma wataelewa tu Kama wamesahau map reading wasione aibu kuwauliza watoto Au wajukuu wao watawaelekeza
 

Kwa taarifa tu, changamoto ni muhimu na haziepukiki katika taasisi inayokuwa kama CDM. suala la msingi wakati wa kuzikabili je zinakiacha chama katika hali gani, maisha bila changamoto sio maisha. usisahau hata CCM kuna changamoto tena nyingi pengine zaidi ya CDM kuliko unavyofikiri, hata imepelekea viongozi kushindwa kufikiri the way forward yaani wanaendesha chama kwa kubahatisha, hata imepelekea kubadili kila mara watendaji wakuu wa chama kama katibu mkuu. Kumfukuza/kumvua uanachama mtu asiyefuata maadili na itikadi ya chama sio maamuzi mepesi na ndio maana utaona CCM wameshindwa, wanaogopa inaweza kukiua chama kabisa. kwao ccm ni bora kuwa na 'sura mbili' ndani ya chama kuliko chama kuonekana kina migogoro. Jiulize migogoro ndani ya CDM kama ulivyosema je chama kinaendelea kuwa na nguvu? kianaendelea kukuwa? n.k
 
chilisosi naomba kwanza uwatake radhi wanachadema wote kwa kitendo cha kuwafananisha na mbwa mwitu kama ulivyoweka picha kwenye mada yako. wape binadamu wenzako hadi kama wanadamu na si mnyama

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…