chilisosi naomba kwanza uwatake radhi wanachadema wote kwa kitendo cha kuwafananisha na mbwa mwitu kama ulivyoweka picha kwenye mada yako. wape binadamu wenzako hadi kama wanadamu na si mnyama
Huyu bwana mi namsupport kwa % 100 hata mimi nimepata wasiwasi huo kwa chama changu, kweli kila siku maandamano tu, hamna njia nyingine ya kutatua matatizo/kudai haki zaidi ya maandamano? Pili: Mbona shu2ma ndani ya cdm @ siku? Mara oh huyu mara huyu why why why?
La mwisho, tuache ushabiki mtu humu akipost ukweli kuhusu chadema, anatukanwa na kukashifiwa why why kwani sisi wanainchi tuliojenga imani ya dhati na chadema hatuna haki ya kutoa maoni pale tùnapoona chama kimepotea/kinapotea hauna haki yakutoa maoni yetu. Watu humu mmekaa kuponda ponda 2 kila m2 anapotoa maoni yake kuhusu chadema anavyoiona?? Why why?
Kwa staili ya kunyofoa watu kucha bila ganzi labda
Baada ya kupunguza vita za wenyewe kwa wenyewe sasa wameamua kuanza kunyofoa watu kucha ili kujenga chuki kati ya serikali na wananchi, lakini siri zimefichuka na sasa kimenuka, tusubiri mwisho wake.
wala sio mwisho wa CDM, bali chama kinazidi kuimarika na kuleta matumaini kwa watz. yanayotokea ni sehemu ya kukua kwa demokrasia ndani ya chama na ndivyo hutokea kwa taasisi yoyote inayokuwa na watu wachache halafu ghafla wakaongezeka kwa wingihii inasaidia kujuana zaidi na kukubaliana kimisingi. wagombanao ndio wapatanaoKama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwishaKila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulaniMara ooh Saa nane kamuanika ZitoMara ooh Zito msalitiMara ooh Sshibuda anadhamini wasalitiMara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,Mara ooh juliana kafanya vileeMara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia. Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous? Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
Kwa staili hii ya wengine kutembea na sumu mfukoni nadhanio ndio mmefikia mwishowala sio mwisho wa CDM, bali chama kinazidi kuimarika na kuleta matumaini kwa watz. yanayotokea ni sehemu ya kukua kwa demokrasia ndani ya chama na ndivyo hutokea kwa taasisi yoyote inayokuwa na watu wachache halafu ghafla wakaongezeka kwa wingihii inasaidia kujuana zaidi na kukubaliana kimisingi. wagombanao ndio wapatanao
Mbwa mwitu ni wewe unayefisadi mali za watanzania. Natamani siku moja nishuhudie ukinyongwa publically.Huu mfano hai hakuna sehemu aliyofananisha.
Ovyoo; hivi hakuna mwenye akili miongoni mwa Usalama wa Taifa? Kwa nini msiwaache CCM wenyewe wajitetee hadi kujifedhehesha kwa kuposti thread za kijinga kama hii mliyoituma?Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
Huo ndio ukweli wenyeweManeno yako nikama ngonjera mh, hutokaa ubadilishe mtizamo wangu kwa kuwa ww unapewa kwa kufikiri upuuzi huo unaofkiria na kujiliwazia kama ni NCCR ilikuwa ni miaka ile shule wanaenda peku mkuu sahau karne ile