is this supose to be funny?

wanajifanyaga wenye misimamo sana, wako wapi sasa
 
Msimamo ni katika taratibu za dini lakini ubinadamu unabakia pale pale,wao ni wanadamu wana hisia kama wengine na macho yao hayabagui.
 
Haahahahha...yaani kuna watu wanachekesha humu yaani moja kwa moja tu wamefkiri hao watu ni wa imani fulani....amkeni hivo ni vivazi tu arabs wavaa haimanishi imani zao...😛😛😛😛😛😛😉😉😉
 
wanajifanyaga wenye misimamo sana, wako wapi sasa

Yaani unafikiri imani ya mtu utaondoka kwa kuona? Wao wameona kwa vile kimepitishwa na unafikiri ujinga wa mtu ukupatishe tabu? Kwani ukiangalia kinyesi njiani unakuwa umekichezea na kuchafuka?
 
unajitetea tu mkuu ila kama nawe ni mmoja wa hao polee
 
bora wewe umekuwa mkweli, wenzio wanajifanyaga wao ni malaika, kumbe watupu tu kama debe tupu
Msimamo ni katika taratibu za dini lakini ubinadamu unabakia pale pale,wao ni wanadamu wana hisia kama wengine na macho yao hayabagui.
 
Duh, nimerud bibie, vp hatutukanani tena? maana kale kaBAN ulikonitengenezea kamenisaidia sana kumalizia vitest vyangu. Nichokoze kidogo basiiii, ila round hii usije kwa PM, 'tumalizane' hapahapa!!
 
Wewe uliyekuja kwenye pm ukanitukana halafu saa hizi unajidai "usije kwa pm". Ukitukana tu, nna report abuse.

Dawa yenu ndogo sana, ni hii hapa:
 
unajitetea tu mkuu ila kama nawe ni mmoja wa hao polee

Laiti tu ungejuwa kuwa hayo si mageni na yanajulikana kwenye dini zote lakini imani zetu ndio msingi si kuenea uchafu wa wenzako!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…