Ngoja wa kiswanglishi wenzako.Subiri hapo hapo usitoke. Lugha moja isingekufanya uonekana si wa kisasa
Apana......
Huu mwandiko kama naufananisha na mtu nayemfahamu.
Ngoja nimwite rais wa wabeba box komredi Nyani Ngabu isije ikawa yeye ndo kadondokewa au mmoja wa raia zake.
Halafu huyu mtu namshtukia
Amejiunga jana ameanza kuwasiliana na huyo jamaa lini?
Mara nyingi sana ID za watu wanaoleta hapa hizi story huwa ni wale wapya
Kwanini?
Au ndio kutafuta "umaarufu"?
Hapana Komredi, haiwezekani kabisa ikawa ni mimi.
Kwa nini haiwezekani? Kwa sababu kwanza huwa sina mazoea ya kuandikiana PMs na watu. Huwa inapita hata miezi sijaandika wala kupata PM toka kwa mtu.
Pili, hata namba yangu ya simu huwa sitoi. Kama nimewahi kutoa basi tokea nijiunge haiwezi kuzidi mara tatu. Na nipo hapa tokea 2006.
Tatu, sina kabisa hiyo Whatsapp na kusema ukweli hata sijui inafananaje. Mwaka jana niliwahi kuonyeshwa jinsi ilivyo lakini nimeshaisahau kabisa. Hata ukinionyesha screenshot yake sasa hivi na maneno 'whatsapp' yasipokuwepo sitaweza kabisa kuitambua.
Nne, ni kweli ninaishi na kupiga boksi mbele, lakini I put it on my late father and on my daughter that it is not me. It is someone else that's being talked about.
Tano, ni kweli at least mara moja kwa mwaka (wakati mwingine zaidi hata ya mara moja) huwa nachukua vacation na kuja Tanzania, but I swear upon everything that whoever is being talked about is definitely not me.
Hahahahaaa! Nyani Ngabu umenifanya nicheke sana. You've proven beyond any reasonable doubt that it is not you and i confirm that it is NOT you who's the topic of the subject here. Pole kaka ila some people's imagination are over active.
Hapana Komredi, haiwezekani kabisa ikawa ni mimi.
Kwa nini haiwezekani? Kwa sabaibu kwanza huwa sina mazoea ya kuandikiana PMs na watu. Huwa inapita hata miezi sijaandika wala kupata PM toka kwa mtu.
Pili, hata namba yangu ya simu huwa sitoi. Kama nimewahi kutoa basi tokea nijiunge haiwezi kuzidi mara tatu. Na nipo hapa tokea 2006.
Tatu, sina kabisa hiyo Whatsapp na kusema ukweli hata sijui inafananaje. Mwaka jana niliwahi kuonyeshwa jinsi ilivyo lakini nimeshaisahau kabisa. Hata ukinionyesha screenshot yake sasa hivi na maneno 'whatsapp' yasipokuwepo sitaweza kabisa kuitambua.
Nne, ni kweli ninaishi na kupiga boksi mbele, lakini I put it on my late father and on my daughter that it is not me. It is someone else that's being talked about.
Tano, ni kweli at least mara moja kwa mwaka (wakati mwingine zaidi hata ya mara moja) huwa nachukua vacation na kuja Tanzania, but I swear upon everything that whoever is being talked about is definitely not me.
NN mbona kama umekanusha sana?
girls are so cheap
Afazali umekuja hommie, unifanye kama alivyofanya Simon wa Kirene. msalaba umenielemea.
Your also cheap why do you take cheap girls?( if that is the case).
ndugu story yako inanikumbusha jirani yangu nae alidanganywa hivihivi kwamba jamaa alijifanya ni black america kaja siku moja anajidai katoka ulaya kumbe jamaa katoka tukuyu mbeya kala mzigo wee kama wiki ivi kampachika na mimba juu baada ya hapo jamaa kasepa dada wawatu kasubiri na yeye aitwe ulaya kumbe daah