Alafu pia u dnt even knw how he luks like, au mlishatumiana picha? kama bado then u have fallen in love with the imagination na hyo ni mbaya sana, things may go very different when u meet. Ingawa kuna watu wachache sana wameoana baada ya kukutana online lakn pia najua wengi walioumizwa na kudanganywa sana na hayo mambo ya online relations, na pia huwa much easier wote mnapokuwa mji mmoja kuliko huyo alie millions of miles away. Either way gudluck
Kaka mzima?
Well kaka Eiyer ni kweli unachokisema ila haina maana kwamba wote walioko hapa ni 'fake'. Naamini wapo watu wa kweli and this i speak from experience coz i've been here for the last 3yrs na nimeshajionea mengi,wapo watu real na wapo fake na cha msingi ni kwamba nachohitaji hapa ni ushauri tu.
Naelewa unachopitia mamii, acha muda useme huku ukimshirikisha Mungu, ukisali na kumwombea yeye pia isije kuwa unaingia choo cha kiume...all in all time will tell.
Kama hatishiwi nyau anatishiwa nini
So i met this guy here (JF) sometime last year and we kind of became acquintances. Tukawa tuna PM once in a while, nothing personal,just mambo ya kawaida. Then a couple of months later akaniomba if we can connect via whatsapp,i was hesitant in the beginning ila baada ya kushauriana nikaona haina shida so we exchanged numbers. He's Tanzanian but he lives & works overseas & only travels home once in a year. We kept in touch every now & then and our comminication became stable. I came to realise that we share a lot more in common that i'ld have expected. This jamaa knows how to speak right through my heart like no other man does, nimejikuta nimefall in love with him like 'heads over heels' and it's crazy. I am scared that i've falllen for a total stranger & i hardly know anything about him except what he's told me about himself. Hivi is social networks relationships real? This distant relationship thing,is it doable? How do you tell that you are not getting played or anything? Jamani kama wapo wadau ambao walimeet this way and they are now a real couple or in a stable relationship hebu nipeni ushauri usikute nimeingia cha kiume hivi hivi najiona. I am past the infatuation period & i know what i feel for him is true love and it's driving me bananas. Natanguliza shukrani zangu.
Ni nini mbaya?
Take a chance
Mahusiano yoyote ni kuwa makin tuu kwa maana wapo weng tunaowafahamu inn n out lakin wameishia kuumiza moyo za watu/ kuoana, wapo walokutana online wakafika mbali / kuumizana
Kikubwa jua tabia zake....msome jitahid muonane
Don't rush in love
Thank you Chujio kwa ushauri wako mzuri. I've prayed about it and i just hope it's for the best. Have a blessed Sunday.
Mimi sipendi mtu anayeuliza kama mauhusiano ya mtandao yako real or fake.
Ni vitu viwili tofauti, huyo mwanaume uliyekutana naye hawezi fanana tabia ama kingine na mwingine ambaye wamefikia ndoa au kuachana katikati.
Unatakiwa wewe kama wewe kumchunguza na kuona kama anakidhi vigezo.
Ila ukianza kulinganisha kama kuna aliyefanikiwa kwa njia hii, ukadhani wanaume wote wanafanana kitabia imekula kwako shost.
Kila la kheri.
Mie sikutishii nyau wewe,nakusakizia mbwa wa polisi tu
Alafu pia u dnt even knw how he luks like, au mlishatumiana picha? kama bado then u have fallen in love with the imagination na hyo ni mbaya sana, things may go very different when u meet. Ingawa kuna watu wachache sana wameoana baada ya kukutana online lakn pia najua wengi walioumizwa na kudanganywa sana na hayo mambo ya online relations, na pia huwa much easier wote mnapokuwa mji mmoja kuliko huyo alie millions of miles away. Either way gudluck
Huyu dawa yake kaka wa wewe akuje na sime na mkuki tu!!
So i met this guy here (JF) sometime last year and we kind of became acquintances. Tukawa tuna PM once in a while, nothing personal,just mambo ya kawaida. Then a couple of months later akaniomba if we can connect via whatsapp,i was hesitant in the beginning ila baada ya kushauriana nikaona haina shida so we exchanged numbers. He's Tanzanian but he lives & works overseas & only travels home once in a year. We kept in touch every now & then and our comminication became stable. I came to realise that we share a lot more in common that i'ld have expected. This jamaa knows how to speak right through my heart like no other man does, nimejikuta nimefall in love with him like 'heads over heels' and it's crazy. I am scared that i've falllen for a total stranger & i hardly know anything about him except what he's told me about himself. Hivi is social networks relationships real? This distant relationship thing,is it doable? How do you tell that you are not getting played or anything? Jamani kama wapo wadau ambao walimeet this way and they are now a real couple or in a stable relationship hebu nipeni ushauri usikute nimeingia cha kiume hivi hivi najiona. I am past the infatuation period & i know what i feel for him is true love and it's driving me bananas. Natanguliza shukrani zangu.
Yuko poa kabisa wii!!