Kuna sababu zake.
1. Inawezekana amechoka kwa sababu za kisaikolojia na kibaolojia
2. Inawezekana anachoshwa sababu za kisosholojia
3. Trend
Sababu za kibaolojia na kisaikolojia ndo zinazochangiwa na vitu vingi; dawa za kuzuia mimba (kibaolojia), homon imballance (kibaolojia), magonjwa (kibaolojia), kazi nyingi (kisaikolojia), msongo wa mawazo (stress) kwa sababu mbali mbali (kisaikolojia), n.k.
Sababu za kisosholojia ni hiyo ya kuwa inawezekana yuko involved na mtu mwingine. Sababu inayoweza kumfanya awe involved si moja tuu. Napenda kutofautiana na wengi wanaosema kuwa usipomridhisha anatoka nje. Huo si ukweli. Sababu za mtu kutoka nje hazisababishwi na mtu mwingine. Ni yeye mwenyewe anaamua. Hata kama unamridhisha vipi bado anaweza kumgawia mwingine kwa sababu zake mwenyewe ambazo hazina uhusiano na wewe.
Trend: Wote tunakua na kuzeeka. kadri tunavyokua uwezo wetu wa kufanya mambo hayo hushuka. Wataalam wanakadiria kuwa wanaume huanza kushuka uwezo wao kuanzia umri wa miaka 25. Wanawake huanza mapema zaidi na kwa wanawake uzazi na utumiaji wa contraceptives huchangia sana. Kwa hiyo kadri unavyo kua nguvu na uwezo huo hupungua. Kasi yake ya kupungua nguvu inaweza kuwa kubwa kuliko ya kwako. Kwa hiyo itakuwa ni normal.
Suluhisho: Inategemeana na sababu. Kumtreate mkeo kama malaika kama wanavyoshauri baadhi ya watu haitasaidi. Mwanamke si malaika, naye ana makosa yake mengi. Ana fantasies nyingi. Ana ndoto nyingi. Ni vigumu kwa mwanaume asiye malaika kuviridhisha vyote hivyo.
1. Be fair to her and yourself. Lakini usidanganywe eti umgeuze kuwa kama malaika, hataridhika. Hata hizo zawadi za mara kwa mara na sifa za mara kwa mara zinaweza ku-end-up kuwa routine. Wasiliana naye kuhusu your expectations na jaribu kuelewa anachokuambia.
2. Mapenzi hayashibiki. The more you get, the more you need (true to men). Wakati mwingine uwe mtu wa kiasi. Jidhibiti. Siyo lazima kila unaposikia msukumo utekeleze.
3. Other hobies? kujihusisha na michezo mbali mbali kunasaidia kupunguza matamanio ya ngono sana. Jaribu kujihusisha na michezo mbali mbali kama kuogelea, kufanya jogging, kutembe umbali mrefu kiasi (6Km on a row), etc.
4. Medical? Matatizo mengi ya kibaolojia huweza kutibika. Mnaweza kufikiria kufanya medical check-ups za mara kwa mara.