Kiboro dinda at work, muache mkeo ukamtafute huyo intern umuoe afu uone kama ukiishi nae atabaki intern as you see her au nae atakua kama wife ambae leo unamuona kama kibwengo....
Mwanamke unayempenda sana sio wa kuoa. Tulia na.mke wako huyo ndio mtafika mnakotarajia kufika. Binadamu huoeana raha kwa muda mfupi tu baadaye hupeana karaha.
Kama mke wako asingekuwa anakupenda angekuwa amekuacha.
She loves you sana.