Is this a scam or real?

Mkuu nimeshangaa mtangazaji mmoja wa Clauds Fm ametupia kwenye page yake watu wapo busy kuhamasishana kuchangamkia deal
Na ki wap site chao wameweka mapicha ya JK na Obama na nembo ya taifa kuzuga watu
 
Watu waliohusishwa naamimini wamo humu JF namaanisha NMB na makampuni ya simu ebu toa ufafanuzi bhana tumechoka ibiwa! khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom