Hoja zako hazi justfy unalo taka tuamini.Ok katiba hutaki kuirejea. Ruzuku hutoka monthly, kuna uchaguzi kila mwezi????.....mkuu hoja zako ni weak/hewa.
Hoja zako hazi justfy unalo taka tuamini.Ok katiba hutaki kuirejea. Ruzuku hutoka monthly, kuna uchaguzi kila mwezi????.....mkuu hoja zako ni weak/hewa.
Ukweli upi? Kwamba hakuna haja ya kuirejea katiba.....kwako ndo ukweli unao usema una baki?. Wewe mwenyewe ndo umesema matumizi ya ruzuku ni kwenye chaguzi ilhali ruzuku hutoka kila mwezi.......yahani serikali inatoa pesa za kufanya kazi ilizo zipiga marufuku!!!!!!!?????.