Haya swali hilo!!! Mimi nafikiri ni kweli wanawake ni zaidi lakini cha ajabu wanaume ndio wanaonekana kutaaka!!!????
Mwanamke m1 aliulizwa akacheka afu akauliza
"hivi sikio likiwasha ukaingiza kidole na kukizungushazungusha ndani yake ni kidole au skio ambalo linajisikia vizuri?"
Nikamwambia umeshinda mama yaishe.
Wote mnafurahia bwana ndo maana nanyi huwa mnatoa ahadi kibao hahahhaha
We can also ask ourselves from another point of view, 'kati ya mkunaji na mkunwaji ni nani anayefaidi'? The answer of this question may pave a way to that question.
Haaa haaa, ahadi gani Maria na zinatolewa wakati gani!!??
wote mnafurahia bwana ndo maana nanyi huwa mnatoa ahadi kibao hahahhaha
IF IT WAS POSSIBLE NINGEOMBA RUFAA WANAUME TUONGEZEWE HATA SEKUNDE JAPO 5 ZA ZIADA ZA KURAHIA KILELE CHA MAFANIKIO KWANI TUNAPUNJIKA SANA WAKATI KAZI KUBWA YA KUTAFUTA YALE MASHETANI YAPANDE TUNAFANYA SISI,,,,
:msela::msela::msela:
KARIBU TUCHEZE.