Is Tanzania becoming a fiscal-military state?

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Guys,

We need to discuss this for the sake of our nation. There are some obvious indicators that our dear country is turning into something new that we have never experienced before - a fiscal-military system.

A fiscal-military state is a state that bases its economic model on the sustainment of its armed forces, usually in times of prolonged or severe conflict. Characteristically, fiscal-military states will subject citizens to high taxation for this purpose.

In the past, states such as Spain, the Netherlands and Sweden, which were embroiled in long-lasting periods of war for local or global hegemony, were organized as fiscal-military states. The British East India Company also employed military fiscalism in maintenance of rule in India in the mid-18th century. Colonial powers generated their revenue for the maintenance of the army.

Currently there are few states that could be described as fiscal-military states, which is probably due to the decline of large scale international conflicts in recent times. I hesitatingly include Tanzania in the list.

We must open our eyes wide and stay vigilant.. I am afraid to say the future is not exciting at all..

PS: If we have an economic issue, I strongly argue the authorities to declare it so that we can all take part in the fiight.. Fighting for our country!
=======

Kwa Waswahili wenzangu:​

Dola ya Uchumi wa Kijeshi ni dola ambayo inategemea zaidi Jeshi katika kuendesha na kusimamia uchumi wa nchi kutokana na migogoro inayoibuka kwenye nchi husika.

Moja ya sifa kubwa mbaya ya mfumo huu ni kusababisha wananchi kukatwa kodi kubwa ili kuweza kuendesha shughuli hizo za kijeshi kwa ukamilifu.

Zipo sababu zinazoweza kupelekea nchi kuingia kwenye hali hii, lakini kubwa zaidi huwa ni vita ambazo huathiri sana mfumo wa uchumi. Zamani nchi kama Spain, Uholanzi na Sweden zililazimika kutumia dola katika kusimamia uchumi baada ya kuathiriwa na vita. Mifano ipo mingi ila hiyo itoshe!

Inaelezwa kuwa kwa sasa nchi nyingi duniani zinalazimika kutumia mfumo huu kutokana na kuwepo kwa migogoro mikubwa baina yao na Jumuiya za Kimataifa.. Nina mashaka hata hapa Tanzania tunaingia kwenye kutumia Jeshi kuendesha uchumi.

Tumeona, JWTZ wameanza kuhodhi Korosho na sasa kusimamia Maduka ya kubadilishia Fedha (Bureau De Change). Je, kipi kitafuata?

Isitoshe, Rais John Magufuli aliwahi kutangaza Tanzania kuingia kwenye Vita ya Kiuchumi. Je, ndio tumeanza rasmi mapambano?!

Kama tayari kuna mdororo wa kiuchumi, nashauri Mamlaka zitangaze rasmi ili sote kwa pamoja tuisaidie nchi kwenye mapambano haya..
 
Taasisi za kuendesha uchumi zipo,zinawekwa pembeni,linachukuliwa jeshi likadhibiti biashara ya fedha ya kigeni,likanunue korosho,bajeti ya jeshi kufanya hivyo haikuwepo,lakini jeshi litatumia hela kujaza mafuta,kununua korosho,kulipa posho
 
Exactly.. Na hapo ndicho kitasababisha kuwe na heavy taxation ili kumudu hizo expenses..
 
kitafuata?

Isitoshe, Rais John Magufuli aliwahi kutangaza Tanzania kuingia kwenye Vita ya Kiuchumi. Je, ndio tumeanza rasmi mapambano?!
..
Kazi ya jeshi mfano JWTZ ni kupambana na maadui wa nchi walioko nje na maadui wa nje walioko ndani wawe wao wenyewe au vibaraka wa watu wa nje walioko ndani ya nchi.Ndio maana uliona hata kule KIBITI ambako askari na wananchi walikuwa wengi wakiuawa JWTZ ilikuwa involved.Mahali pakionekana pana hujuma ya watu wa nje wakiwa wenyewe au watanzania wakishirikiana na watu wa nje kuhujumu usishangae kuona JWTZ wako getini
 
Guys,

We need to discuss this for the sake of our nation. There are some obvious indicators that our dear country is turning into something new that we have never experienced before - a fiscal-military system.

A fiscal-military state is a state that bases its economic model on the sustainment of its armed forces, usually in times of prolonged or severe conflict. Characteristically, fiscal-military states will subject citizens to high taxation for this purpose.

In the past, states such as Spain, the Netherlands and Sweden, which were embroiled in long-lasting periods of war for local or global hegemony, were organized as fiscal-military states. The British East India Company also employed military fiscalism in maintenance of rule in India in the mid-18th century. Colonial powers generated their revenue for the maintenance of the army.

Currently there are few states that could be described as fiscal-military states, which is probably due to the decline of large scale international conflicts in recent times. I hesitatingly include Tanzania in the list.

We must open our eyes wide and stay vigilant.. I am afraid to say the future is not exciting at all..

PS: If we have an economic issue, I strongly argue the authorities to declare it so that we can all take part in the fiight.. Fighting for our country!
=======

Kwa Waswahili wenzangu:​

Dola ya Uchumi wa Kijeshi ni dola ambayo inategemea zaidi Jeshi katika kuendesha na kusimamia uchumi wa nchi kutokana na migogoro inayoibuka kwenye nchi husika.

Moja ya sifa kubwa mbaya ya mfumo huu ni kusababisha wananchi kukatwa kodi kubwa ili kuweza kuendesha shughuli hizo za kijeshi kwa ukamilifu.

Zipo sababu zinazoweza kupelekea nchi kuingia kwenye hali hii, lakini kubwa zaidi huwa ni vita ambazo huathiri sana mfumo wa uchumi. Zamani nchi kama Spain, Uholanzi na Sweden zililazimika kutumia dola katika kusimamia uchumi baada ya kuathiriwa na vita. Mifano ipo mingi ila hiyo itoshe!

Inaelezwa kuwa kwa sasa nchi nyingi duniani zinalazimika kutumia mfumo huu kutokana na kuwepo kwa migogoro mikubwa baina yao na Jumuiya za Kimataifa.. Nina mashaka hata hapa Tanzania tunaingia kwenye kutumia Jeshi kuendesha uchumi.

Tumeona, JWTZ wameanza kuhodhi Korosho na sasa kusimamia Maduka ya kubadilishia Fedha (Bureau De Change). Je, kipi kitafuata?

Isitoshe, Rais John Magufuli aliwahi kutangaza Tanzania kuingia kwenye Vita ya Kiuchumi. Je, ndio tumeanza rasmi mapambano?!

Kama tayari kuna mdororo wa kiuchumi, nashauri Mamlaka zitangaze rasmi ili sote kwa pamoja tuisaidie nchi kwenye mapambano haya..
Umeharibu kutafsiri, sasa na walumumba wataingia na hoja za kuunga mkono. Lugha ya kwanza hapo juu ilikuwa chujio zuri sana.
 
Ndio maana rais ni Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi Tanzania.
Mlidhani mtayumbisha nchi kwa udalali wenu wa makabaila eeh....chezea dola wewe!

Upumbavu huu...huwezi tumia jeshi kupambana kibiashara!

Unashindwa kufanya homework yako vizuri ya kukuza uchumi na private sector na kusimamia mapato,then unatumia mikono(jeshi) kuzuia mafuriko?

Tangu lini jeshi lina akili ya kufanya biashara?When?

Kama sio ukilaza wenu?

Majinga ni majinga tu!
 
Ndio maana rais ni Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi Tanzania.
Mlidhani mtayumbisha nchi kwa udalali wenu wa makabaila eeh....chezea dola wewe!
We nae ukabila unatoka wapi hapa, mbona unakosa akili kiasi hiki, wewe ndo unaonekana ni mkabila haswa, mshamba ww
 
Ooh ghosh! Military muscleS???!!! A few months ago there was a story here that someone was planning to print more notes and coins denominated in Tanzania shillings. I could not believe that story then!! Are indicators now surfacing??!! I pray to the Almighty God that that little political space confiscated is reinstated so that all of us can share our professional opinions and beliefs on how to fight our common socio-political enemy! God forbid!
 
Printing notes should be the last resort, I guess. I can not see how we do that now. I mean, it's too early to do so. Wait.. Is it really? Too early?
 
Back
Top Bottom