Huyu mkku inaonekana hana idea ya kinachoendelea duniani au, hayupo in touch with reality......
sio nia yangu kumtetea Rais asipotuwakilisha vizuri katika mikutano ya kimataifa lakini nina imani kwamba Rais kama ilivyo kwa mimi na wewe ni binadamu na hawezi kujua kila jambo kwa kina. vilevile, nimefuatilia sana jinsi Rais anavyotuwakilisha katika mikutano mbalimbali na ameonekana kufanya vizuri nachelea kusema inawezekana eneo hili halieliwi vyema kama ilivyo kwa yeyote yule. Mambo ya mdororo wa uchumi mapya na ni ya kitaalamu na bahati mbaya yamezigusa zaidi nchi za Ulaya na hivyo kueleweka zaidi katika jamii hiyo. Hivyo naamini washiriki waliotoka katika mazingira hayo walikuwa na nafasi kubwa ya kuzunguzia kwa undani jambo hili lakini pia tukumbuke kuwa wengi wa washiriki waliozungumza na kutoa mada ni wataalamu wa mambo ya fedha na uchumi. I STAND TO BE CORRECTED.

...........Hivi Mr President wetu ana watu waliosoma kweli wanaoweza kumwandaa kwenye midaharo mikubwa kama hiyo? ...........