Is our president serious?

could you please be more specfic, because i'm not sure or i haven't follow exactly what is your point and what was your observation when you said he didn't answer the question as it was suppose or to what you were expecting. please assist some of us.
 
Sikiliza halafu utoe maoni yako. Umesaidia kwa kupewa kitu cha kusikiliza. Kama hukubaliani na aliyeanzisha thread mwambie kuwa labda hajafanya right judgement
 
could you please be more specfic, because i'm not sure or i haven't follow exactly what is your point and what was your observation when you said he didn't answer the question as it was suppose or to what you were expecting. please assist some of us.

this is it...

Jamani for those who have been watching the IMF meeting at the BOT Towers, have u noticed like i have how aisha wa CNN alivyo muuliza kikwete simple questions na kashindwa kujibu kwa uhakika...jioneeni
]
 
It is obvious that either Mr president is not used to Q&A or he just has no idea. That certainly wasn't a proud moment...
 
hahaha i though Bush was poor when it comes to Q&A kumbe hata kikwete wetu pia?..yaani anaulizwa swali la financial crisis his answer was simple and clear kuwa he still contunue to do the same..... i guess!..wenzie wako so broad yaani wanajibu hadi unaona ni kweli wanafanya kazi zao.
 
maybe they could just do him a favor and ask him in swahili or he could just use our mothertongue,thats it!no complications!
 
Kichwa cha habari kingekuwa "mdahalo wamtoa nishai mkuu".
It's funny how a simple question can make dumb dumb, dumber.

Alibakia kujilamba, sasa huo mda wote anavyokwenda nje,anawaelezaga nini?
 
kingine unajua unapokuwa katika maswali ya papo kwa papo hasa katika lugha ya kigeni usizunguke just kuwa short and clear.use simple words,hit straight to the point,thats it.
nakumbuka mambo ya DS100,200 na yale maswali ya kukomoana wakati wa presentations!!
 
Heheheheheee....he definitely was stumped by the question...

And I didn't see a ring on Aisha finger....Wooo hoooo
 
And I didn't see a ring on Aisha finger....Wooo hoooo

and what is your point?!...

Any ways i think if they would have asked Kikwete these question in swahili i am sure angejibu vizuri sana...kama navyosema humu kila siku kuna watu they write quite good english lakini ukimwambia aongee without teleprompter au karatasi oloo hana tofauti na unavyomuona raisi wetu kikwete hapo kwenye hiyo IMF debate....
 
Oh by the way, kipindi cha Inside Africa (CNN International) wiki hii kitakachorushwa Jumamosi kitakuwa kuhusu mkutano wa IMF ulio/unaofanyika Tanzania...

Na host atakuwa Aisha Sessay....
 
kuna nyingine hii ya world economic forum yaani mpaka unamuonea huruma Mr.President!
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=EmFoqluAmS4]YouTube - Davos Open Forum 2007 - Billions in Development Aid[/ame]
 
Huyu mkku inaonekana hana idea ya kinachoendelea duniani au, hayupo in touch with reality......
 
Back
Top Bottom