Is my wife dating someone else?

au na yeye atafute mnyonge wake
 
Mimi vire najua hiyo Mama Kayaii huwa iko napenda sana wanaume ya T zedi, labda hapo ndio akateresa... Sasa we baki poa tu mpaka uandikwe kazi pahala, ukifanya fujo watakamata rudisha wewe nyumbani Machakos. Uko na makatarasi ya T zedi?
 
Juzi kati, nili letewa Zawadi ya Boxers hizi aiseeee......[emoji16] [emoji16]
Isije ikakua tuna gonganishwa...
 
au na yeye atafute mnyonge wake

Kama ni rahisi...watamt..mba kisha watamuweka picha za uchi mtandaoni...kama anajiheshimu na bado anahitaji huduma toka kwako atajifunza kuishi kwa adabu na mdogo wake...jitahidi tu usimkere....
 
Kugegedewa mradi usifahamu tu.

Its so good having wake wawili...they will always compete to win you....we unapiga tu mluzi unaongoza njia wao wanakufuata...utakula vema...utaishi vema na utafanya kazi kwa bidii...hutahangaika kumfuatilia mtu..wao ndio watakuwa wanahangaika kukufuatilia....halafu wanachungana....

Mwenye akili na asikie.
 
ndio uache kupekua hand bags za mkeo..... ha ha ha ha na wewe nunua pichu za mwanamke weka kwa mfuko chumban make sure anaziona af zipotezee uone jibu lake....
 
Nitakubali kama tu tangu mwanzo mkataba wetu ni huu, lakini kama ulinichukua na gauni langu kanisani mbele ya wazazi na ukasema "I do". Kuku share mh mh mh.
 
Ukimchunguza sana bata hutomkula. The same as ukimfuatilia sana mpenzi wako hamuezi ishi kwa amani utakutana na ulilokuwa unalitafuta likukukera cha kufanya pretend km hauchitiwi, maisha yatakuwa murua ili mradi heshma ipo ndo na Aman basi yatosha
 
 
Hiyo mutu rudisha kwao haifai!!!
 

Kwa tabia hzo za udokozi, ndio maana wanaume wa kenya mnapigwa na wake zenu.
 
Hii mambo enda eleza nyanyaako na watu wa boma yenyu mbelee ndio wako wanajuana na wife wa yours hapa unaweza itishwa kitu kidogo ili upatianwe advice
 
Ukiona manyoya ujuwe kaliwa. POLE hiyo kitu iko kwa family nyingi. Endelea tu kurudisha mahusiano atajirudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…