Is Mufuruki suffering the colonial legacy or nobility syndrome?

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,599
2,000
Wengi hamuijui EAC.JIpeni nafasi ya kusoma au hata kusikiliza hali ay EAC. Ukitaka kujua kwa nini TZ inasita ktk maamuzi ya EAC, jiulize mwenyewe kwa nini TZ hiyo hiyo inaongoza vizuri ndani ya SADAC!
Eti "inaongoza vizuri"! Don't make me laugh. But you may be right kuwa inaongoza vizuri "SADAC" lakini sio SADC. Mkataba wa EAC ni sawa na wa SADC? Unalinganisha mtu anaecheza golf na yule wa football?
 
Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
1,258
2,000
Safaricom.... Uliza kingine.
Hajawahi kuwa managing Director popote! Una imani delivery yake Safaricom itamfanya aiinue Vodacom? Ili iweje? Unajua makampuni yanashindana? Atoke Kenya kuja kuinufaisha Vodacom kwa gharama ya Safaricom? Hatutaki majaribio ya hatari kiasi hicho.

Hata hivyo unamtetea wa nini wakati kisha kataliwa? Tujadili huyu anayempigia debe utadhani wanafahamiana kwa ufanisi, kumbe misheni tauni!
 
Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
1,258
2,000
CEO wa Safaricom hana degree bosi. Kutumia kigezo cha ELIMU inatufanya tushindwe kuona picha kubwa
Usitafute wastani kwa takwimu moja. Huyo mmoja kwa kuwa hana digrii unadhani na huyu ataweza? Hapana! Ikitokea mara moja kinyume na mazoea, usiiamini kwamba ndo kawaida. Hiyo siyo kawaida na hiyo haitoshi kumpa mdada kama huyu kuijaribia TZ. Kwa nini nafasi kama hiyo asitafutwe m-TZ? Au nawe unaamini kama huyo Mfuruki kwamba kenya kuna sifa ya ziada zaidi ya TZ?
 
Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,599
2,000
Hajawahi kuwa managing Director popote! Una imani delivery yake Safaricom itamfanya aiinue Vodacom? Ili iweje? Unajua makampuni yanashindana? Atoke Kenya kuja kuinufaisha Vodacom kwa gharama ya Safaricom? Hatutaki majaribio ya hatari kiasi hicho.

Hata hivyo unamtetea wa nini wakati kisha kataliwa? Tujadili huyu anayempigia debe utadhani wanafahamiana kwa ufanisi, kumbe misheni tauni!
Usichoonekana kujua/kukumbuka ni kuwa (a) hakuna aliezaliwa akiwa MD. Ni kweli hajawahi kuwa MD kabla lakini hiyo haina maana hawezi kuwa MD na akafanya vizuri tu
(b) Vodacom ni subsidiary company. Imesajiliwa locally yes, but it is a foreign owned company. Wenye kampuni wanaona hakuna Mtanzania mwenye potential ya kufanya wanachotaka kwa nafasi ya MD, what's your beef?
 
Ntwa A. Katule

Verified Member
Jan 4, 2017
236
250
Usitafute wastani kwa takwimu moja. Huyo mmoja kwa kuwa hana digrii unadhani na huyu ataweza? Hapana! Ikitokea mara moja kinyume na mazoea, usiiamini kwamba ndo kawaida. Hiyo siyo kawaida na hiyo haitoshi kumpa mdada kama huyu kuijaribia TZ. Kwa nini nafasi kama hiyo asitafutwe m-TZ? Au nawe unaamini kama huyo Mfuruki kwamba kenya kuna sifa ya ziada zaidi ya TZ?
Nafikiri tufunge tu mjadala
 
Ntwa A. Katule

Verified Member
Jan 4, 2017
236
250
Huijui EAC.Jipe nafasi ya kusoma au hata kusikiliza hali ay EAC. Ukitaka kujua kwa nini TZ inasita ktk maamuzi ya EAC, jiulize mwenyewe kwa nini TZ hiyo hiyo inaongoza vizuri ndani ya SADC!
Tukubaliane kutokubaliana. Siku njema
 
kiwiko

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
1,232
2,000
Watu mmejikatia nia namna hii,Kuna watu wenye uwezo mkubwa sana, Kivip unasema hakuna managers wanaoweza kusimamia biashara Tanzania, How many Tanzania have foreign business education na wamesoma chuo kimoja na huyo dada? Huu ni upungufu wa Kufikiri kwa mtu mkubwa kama huyo, pia hana ujuzi wa kutafuta mkurugenzi mzuri, tena anaweza kusema madini ya shaba ya tanzania hayapo sawa na madini ya shaba ya nchi zingine
Sijui wanatumia tafiti zipi kujua kua hakuna qualified Tanzanians for CEO role
 
Grahnman

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
1,672
2,000
Siku hizi nina ugonjwa wa kutopenda kusoma maandiko marefu ya kiingereza sijui kwa nini?
 
Grahnman

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
1,672
2,000
Alianza biashara kwa wizi wa pesa za shirika la serikali, leo hii anajidai mfanyabiashara mwema.
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara hapa tz wamepata hela kiujanja ujanja hasa kwa kuiba serikalini na unga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom