ha ha ha...
Why stay if you know it is i who loves talking to you?
Why laugh with me if you don't want to hear my laugh?
Of course i day dream for during the day we are apart..
But why return every nite rite on time if you don't day dream too?
If you forget our conservations how can you tell that it is ours i collected?
Why not memorise whilst you look at me with naked admiration?
The things you do to me you expect me not to smile in reminisce?
I know one thing for sure.. you are a MAN admitting in front of your
fellow men of feeling the exact way is socially killing your self!!
I urge you just surrender and apply this in vice versa...lol
Nahitaji maelezo....nikigonga mlango utanifungulia!??teh teh number 6 anani LOVE ndio maana nimechangamka hahahah lol
Unafikiri the way wanawake wanavyosema I love you ni sawa na mwanaume anaposema hivyo?
Hahaa hahaaa haaa. Heri shari kamili kuliko nusu shari
kwa mfano kama unamtokea mdada wa kitasha ukimwambia i love atakutolea nje kwa kusema
U DONT KNOW me lakini siko kwamba anakukata anamekukubali ila atakwambia YOU LIKE,
ndio maana mimi hii inanipa wasiwasi LOVE=LIKE turudi kwenye lugha tafadhali na hisia
saa nyingine Love sio lazima umjue mtu
waweza mona mtu ukafa gamvi gafla ....
loVe haiwezi kuwa LiKe
Like= una interest naye na like ni Crush ndio maana akakujibu hivyo
LoVE = way deeper feelings..
una maana gani mkuu?
bonge la home work lakini mimi kijana wa mjini mjini nitazisoma tu
Such a romantic.. yet you claim hating ME!!! lol Surrender tu EMT.
hiyo deeper feel inaanza wakati gani?
au vigezo vyake ni vipi?
kwa mfano kama unamtokea mdada wa kitasha ukimwambia i love atakutolea nje kwa kusema
U DONT KNOW me lakini siko kwamba anakukata anamekukubali ila atakwambia YOU LIKE,
ndio maana mimi hii inanipa wasiwasi LOVE=LIKE turudi kwenye lugha tafadhali na hisia
Finally... thot i lost you there...lol..by the way umekosea in this case Heri nusu shari kuliko shari kamili
Mwisho niliona heri niendelee kuku-like tuu badala ya kuku-love.
Hivi weweeee..._hii habari ya kuingilia affair za dada yako umejifunza wapi!!?Utakomaaa!
Such a romantic.. yet you claim hating ME!!! lol Surrender tu EMT.
saa nyingine Love sio lazima umjue mtu
waweza mona mtu ukafa gamvi gafla ....
loVe haiwezi kuwa LiKe
Ok. Let me "like" you then. Will that make you feel better? lol
Inatosha kabisa' maana hii ni starters... wait for desert... then utaongea tena, saizi nakuacha u relax...lol