Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,773
- 3,879
Kwanini unasema hivyo mkuu?Maisha sio movie wala ndoto,maisha ni maisha tu
Sasa si naona sioti na wala siigiziKwanini unasema hivyo mkuu?
Huoni mambo ya ajabu ajabu yanayo tokea kwenye maisha ya watuSasa si naona sioti na wala siigizi
InfropreneurKuna theory inasema " Life is a movie about a character in which the actor is not the character. The actor is invisible so you are here on earth to act in the life of an invisible character "
Mfano wake ni kama vile movie kuhusu maisha ya Malcolm X... Mtu ana act maisha ya Malcolm X kwenye movie. Yeye mwenyewe sio Malcolm X. .. Malcolm X is invisible in that movie.. So ndio maisha tunayo ishi binadamu.. Hiyo ni theory. Je inaweza kuwa ina make sense kwa kiwango gani?
Theory namba 2 : " Life is a dream" Kwamba haya maisha unayo ishi sio maisha yako halisi, ila ni ndoto unaota na siku utakayo kufa kwenye ulimwengu huu ndio siku utakayo fufuka kwenye ulimwengu mwingine.. Hii nadharia inapendwa na watu wengi sana. Je inaweza kuwa na ukweli kwa kiasi gani? . Tujadili bila kuhusisha mafundisho ya dini. Tujadili kwa kutazama uhalisia katika maisha yetu ya kila siku
Kitu pekee ninachokiona mimi, bado Bongotunacheza , sijui kama na huko abroad ni the sameSasa si naona sioti na wala siigizi
Lakini si umeshasema yanatokea kwenye maisha kwa hiyo hayo ni maisha sio movie wala ndotoHuoni mambo ya ajabu ajabu yanayo tokea kwenye maisha ya watu
Nothing makes senseKuna theory inasema " Life is a movie about a character in which the actor is not the character. The actor is invisible so you are here on earth to act in the life of an invisible character "
Mfano wake ni kama vile movie kuhusu maisha ya Malcolm X... Mtu ana act maisha ya Malcolm X kwenye movie. Yeye mwenyewe sio Malcolm X. .. Malcolm X is invisible in that movie.. So ndio maisha tunayo ishi binadamu.. Hiyo ni theory. Je inaweza kuwa ina make sense kwa kiwango gani?
Theory namba 2 : " Life is a dream" Kwamba haya maisha unayo ishi sio maisha yako halisi, ila ni ndoto unaota na siku utakayo kufa kwenye ulimwengu huu ndio siku utakayo fufuka kwenye ulimwengu mwingine.. Hii nadharia inapendwa na watu wengi sana. Je inaweza kuwa na ukweli kwa kiasi gani? . Tujadili bila kuhusisha mafundisho ya dini. Tujadili kwa kutazama uhalisia katika maisha yetu ya kila siku
Huo ndo Ukweli wa MaishaKitu pekee ninachokiona mimi, bado Bongotunacheza , sijui kama na huko abroad ni the same
Ukiandamana jamaa lazima watahakikisha u NALIA NGWENAHuo ndo Ukweli wa Maisha
Umejuaje kuwa hauoti mkuu?Sasa si naona sioti na wala siigizi
Naona naishi nikiota huwa najuaUmejuaje kuwa hauoti mkuu?
AiseeIt is a dream, it seems more likely so.
Ni ndoto ya kijinga tu isiyo na maana yoyote.
Kwa sisi wataalamu tunakwenda nayo sambamba halafu tunaicheka sana.
Huamin auAisee
No, im just wonderingHuamin au
Mtu unajishuhudia kabisa mwenyewe ukiishi hapa duniani halafu useme maisha yako ni dream au muvi.