Ben Saanane,
Kuna kitu kimoja CHADEMA bado hawajawafunulia watanzania kisawasawa. Tutumie mfano wa Igunga. Hili jimbo la Igunga limekuwa linawakilishwa na Rostam Aziz for donkey years. Huyu bwana alikuwa mtu mkubwa sana kwa CCM (mweka hazina) na serikali yake, ali-mastermind EPA, Dowans lakini kati ya mabilions yote hakuchomoa 'vijicent' kujenga daraja kwenye jimbo lake! Why? Kwa sababu CCM couldn't care less watu wanaishi vipi as long as wao wanatawala!
Hapa tunaweza kusema kwa uhakika, kama CHADEMA hawakuwaandama CCM kuhusu ufisadi, na hivyo kusababisha CCM kuanza kuitana majina, ultimately Rostam akaamua kuachana na 'siasa uchwara, na hivyo kuwepo kwa uchaguzi mdogo, wananchi wa wa Igunga wangeelendelea kupiga mbizi!
Kwa maneno mengine, hilo daraja limejengwa kwa sababu ya CHADEMA. Kuingia kwa CHADEMA Igunga ndiko kumesababisha CCM wafanye kazi ambayo wameifumbia macho kwa miaka 51! Nani anayeweza kubisha kuwa daraja halijengwa kwa nguvu ya CHADEMA? Kwa nini hawakujenga miaka yote hiyo?
Bila kuumiza kichwa, angalia sehemu ambazo CCM wana mizizi - Bahi, Mtwara na Lindi. Haya maeneno yanaogelea shida za kipekee. Wakubwa wanawasalimia wakati wa kura tu. Baada ya hapo kila mtu na lwake.
Sasa hivi CCM wanatekeleza miradi kwenye majimbo ambayo wanaona kuna Mwana-CHADEMA 'msumbufu'. Na tafsri bado inabaki pale pale, kwamba CHADEMA ndio sababu kubwa kwa CCM na serikali yake kutekeleza hiyo miradi.
Kwa kifupi CHADEMA wanatakiwa ku-articulate haya mambo vizuri, ili wananchi wanaotaka maeneo yao wajengewe madaraja, barabara n.k wachague 'fimbo'. Bila fimbo hawafanyi kazi hawa watu! 51 years watu wanaliwa na mamba walikuwa wapi?