Tetesi: Is Kenya being sidelined in EA? Tanzanian appointed head of South Sudan Revenue Authority

IAfrika

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
276
217
Fursa nyingine imeiruka Kenya ikaenda Tanzania. Siku za hivi karibuni nchi za Afrika mashariki zimekuwa zikingia kwenye deals/miungano au ushirikiano kwa mambo mbali mbali huku Kenya ikiwachwa inje.

Hii imefanya Wakenya waulize mitandaoni "Why is the region hostile to us" , "Why do they hate us" kutokana na Kenya kuachwa inje ya hizi deals au kupoteza nasafi za kusikizana Kama Somalia-Kenya Indian Ocean boundary dispute that was mismanaged. Uwezo wa Wakenya hauna ubishi kwani Kenyans walisaidia Rwanda kuanzisha upya uchumi wake kwa mfano Economic blueprint ya Rwanda ilichorwa na David Ndii, elimu na vyuo vyao ika fufuliwa na Francis Imbuga na Wakenya wengine wengi ambao waliisadia Rwanda kisha wakarudi nyumbani. Mbona sasa Sudan kusini haiamini Kenya kwa nyanja ya Serikali.

Najua kwa biashara Kenya wameazisha biashara huko ikiwemo benki lakini kuna wakati wanapata uvamizi kutoka kwa wenyeji. Inasemekana kwa nyanja ya serikali Sudan Kusini walitaka Kushirikiana na Kenya iliyoendelea sana kwa nyanja hii lakini maafisa wa serikali ya Kenya wanaitisha kickbacks kubwa sana hadi Sudan Kusini hawataki *kudeal na Kenya.

Hii ilifanya S.Sudan kuenda hadi Ghana kupata mkuu wa idara yao ya ushuru ndio sasa wamerudi hapa Afrika Mashariki. Kuenda mbele yafaa Kenya iwe na mpangilio tofauti haswa Wizara ya Sera za nchi za kigeni ili tuwache kupoteza hizi fursa. Ukipoteza inchi moja kila siku utapata umepoteza kilomita mia siku moja.

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

A Tanzanian national has been appointed the new head of South Sudan National Revenue Authority (SSNRA).

Dr. Patrick Mugoya, who was previously the deputy head of Tanzania Revenue Authority, replaces Dr. Olympio Attipoe, a Ghanaian national.

Speaking to reporters in Juba on Tuesday, Mugoya vowed to put in place mechanisms for transparency and accountability in revenue collections as well as end all tax leakages and unnecessary waivers.

“We will put in place measures that will seal loopholes and revenue leakages in terms of tax invasions and unscrupulous exemptions, tax avoidance and the likes as immediate measures,” he said.

Mugoya will be deputized by Brigadier Africano Mande Gedima.

Established in 2018, SSNRA is mandated to assess, collect, manage, and enforce laws relating to taxation and revenue generation.

Tanzanian appointed to head South Sudan revenue body - Sudan Tribune: Plural news and views on Sudan

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…