Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,560
- 48,906
Kwa siku za hivi karibuni nakwa kuzingatia siku ambayo kwa mtazamo wangu haikua haki kwa Rais wetu wa Jamhuri media hii katika maziko ya Mbunge wa Chalinze, ilimpa uzito mkubwa zaidi mwenyekiti wa Chadema bwn Mbowe kuliko kumpa uzito kiongozi wa Nchi.
Katika habari ya kwanza kabisa katika mfululizo wa habari za kitaifa, habari ilianza kwa kumnukuu kiongozi wa chama hicho cha upinzani akitoa wasifu wa marehemu kwa vyombo vya habari.
Kiongozi huyo alinukuliwa kwa kutoa kauli za kutoa wasifu chanya kwa marehemu na habari hiyo kumalizia kwa kusema kua mazishi hayo yaliongozwa na Mh. Jakaya kikwete Rais wa JMT.
Tafsiri ya vitendo hivyo ni kuwa Media haikumpa uzito kiongozi wa nchi na kumpa uzito kiongozi wa chama cha upinzani. Haikua sahihi.
Ukijaribu kufuatilia taarifa za habari pia zimekua zikikipa kipaumbele kikubwa chama hicho kuliko vyama vingine.
What is the hidden agenda, tutegemee nini kwa vyombo kama hivi vinapoamua kuwa biased?? Au ndio kama majibu kwa serikali kuwa na chombo chake cha habari TBC?? na Pro Chadema's kuanza kuigomea media hii kwa grounds kwamba kinaipa upendeleo serikali ya CCM?? Sidhani kama hili ni sahihi.
Media houses should play their role of reporting and not politics.