Don Mongi nakubaliana na hoja yako kwa sababu nilishakuwa huko Kusini zaidi ya mara 3 kiukweli ukienda ktk migahawa ya chakula yani huwezi kufurahia mapaishi ya vyakula vyao.Nilidhani ni mimi tu ndo napata shida kumbe pia wapo wengine wengi.Kuna haja hawa watu walifanyie kazi suala hili la upishi wa vyakula.Ni hayo tu!!!!!
Isue sio hawajui kupiga kuna baadhi ya mikoa wenyeji ni wavivu sana hataki kujishughulisha chakula kiwe kitamu shurti kujituma kwa mfano Morogoro ni shida sna kupata mlo mzuri hotel ya kawaida
Serengeti ipi?
Labda wamakonde ndo nimeskia shughuli yao pevu, niko huku kwa wamwera hamna lolote!
Kama Mungu hakupi yote, mbona watoto wa kitanga wamepewa vyote, upishi wa chakula cha mchana na usiku vilivyo.
Matumaini yangu kila mtu yuko poa wanajamvi. . . .
Niko huku kusini mwa Tanzania for almost a month sasa hivi, kuna jambo nimevumilia huku toka nimekuja, labda naomba niwashirikishe wadau.
Yaani kila ikifika muda wa lunch nakunja uso, reason ni varieties za chakula huku hamna sijui, kila siku ugali na wali, ukiulizia hata vyakula vingine hamna hata labda kwa wapenzi wa chips ambazo mie mwenyewe ni mlaji wa nadra sana.
Mbali na msosi kuwa 'monotonous' (wa kujirudia rudia) bado chakula hakipikwi vizuri, nasema hivi sababu nimejaribu kula sehemu tofauti tofauti yani bado hali ni ile ile.
Ndio nauliza jamani wanajamvi ule usemi kuwa wanawake wa kusini hawajui kupika ni kweli?? Yani unaletewa chakula hamu ya kula inakata hapo hapo, worse enough nawaona watu wa huku wanafurahia tu chakula na kukiona kawaida.
Almost a month now appetite yangu imechimbiwa chini.
Jamani wanawake wa kusini tafuteni maujuzi ya madikodiko.
Nawasilisha.
wew mwenye pesa hajitapi hlf ungekuwa na hela ungekuwa unakuja kupa dinner dar kwa vile vyakula vya huko haviliki.sa unapesa mwezi mzima unakula mataputapu kibo kasi ya pesa nini mangi?tumia pesa ikuzoee panda ndege njoo kula rudi huko kusini kwako.o.k kama unajua kuhonga sana n.pm shiku shidadu
Nenda pale Royal Pub utapata kitu cha maana au upo Mbekenyera??Niko Ruangwa,Lindi huku kwa wamwera, nyie tatizo hamfwatilii uzi vizuri.
Nenda pale Royal Pub utapata kitu cha maana au upo Mbekenyera??
Royal nakula hapo karibu kila siku mpaka nimechoka chakula chao, ugali na wali tu mkuu. . .mbekenyera naenda next week but ntarudi mjini, mkuu unakuelewa sana huku eeh?
Nakupata kiasi chake nimewahi piga kazi huko na NGO moja hivi, Kitandi, Mbekenyera, Mandarawe, Chinokole na vijiji vingine nimeanza kuvisahau. Kwa hapo ni kweli kuhusu msosi maana hata sehemu ya kulala zamani ilikuwa ni ishu sijui hivi sasa.