Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat?

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat? Watz nataka jibu.

====

“Airbus iliyokuja juzi shughuli zote zilisimama, leo hatuelewi kwamba hadi sasa imezalisha shilingi ngapi? Zipo taarifa inaonekana inabeba nyama kutoka Mwanza, tunataka tuambiwe kwa sababu
zimenunuliwa na fedha za Watanzania."- Mbunge Devota
Minja akihoji ilipo Airbus ya ATCL
IMG_20190406_102446.jpg
 
View attachment 1063874
Hahahahaha ati nyama jameni...…..
 
Siku hizi hata husikii tena juu ya DREAMLINER sijui imekwenda CHINA haijarudi!!!! Mwenye taarifa ya DREAMLINER tafadhali atujuze kwani hata pale JNIA ilipokuwa inapark haionekani tena. Wananchi tuna haki ya kujua kwani hela yetu nyingi sana imetumika kununua lile dege!
 
Tuliambiwa inabeba nyama kutoka Mwanza Hadi JNIA ili zisafirishwe kule Uarabuni....
Mi sijaskia ATCL ina safari za Uarabuni kwahivyo inamaanisha nyama zikifika JNIA zinachukuliwa na Kampuni nyengine ilio na dedicated freighter na kusafirishwa Uarabuni ...
Si ni Afadhali watu wa eneo la Mwanza wapeleke nyama zao Kilimanjaro int'l airport na ndege ipokee na kusafirisha nyama kutoka hapo moja Kwa moja Hadi huko Uarabuni?
 
Nyie endeleeni kujidanganya na kufurahia uongo. Aibu inawajia
 
Siku hizi hata husikii tena juu ya DREAMLINER sijui imekwenda CHINA haijarudi!!!! Mwenye taarifa ya DREAMLINER tafadhali atujuze kwani hata pale JNIA ilipokuwa inapark haionekani tena. Wananchi tuna haki ya kujua kwani hela yetu nyingi sana imetumika kununua lile dege!

Kwa comment hii inaonesha kwenye maisha yako Hujawahi kupanda ndege, hata Airport hujawahi fika
 
Back
Top Bottom