Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
For couple of years i have been doing a research to find if it is true that all Chinese products are fake and why they are producing them. At first I used to believe that china is the leading company of producing fake products but baada ya kufanya utafiti juu ya hili nimegundua kuwa what i was thinking was wrong.
Baada ya kufanya utafiti huu nimegundua kuwa China is the leading country in producing quality electronic products in the world baada kugundua kuwa makampuni yote ambayo yanaaminika kwa kuongoza kutengeneza bidhaa za electronics ikiwemo Samsung, Acer, Dell, HP na mengine ambayo sijayataja bidhaa zao zote huwa zinatengenezwa China. If you dont believe me chukua kifaa chako chochote cha electronic cha moja wapo ya haya makampuni ambayo nimeyataja hapo na uangalie wapi kilipotengenezwa na utagundua kuwa kifaa hicho kimeandikwa kuwa kimetengezwa China. Lakini ukiangalia kwa upande wa pili au ukitembelea katika tovuti za hayo makampuni utagundua kuwa makampuni hayo are not located in China. Then why these products are made in china while those companies aren't located in China? (Good question and we are going to get its answer today)
Swali hilo ndilo lililonifungua macho na kunfanya niweze kutafuta zaidi ili kuweza kubaini ni kwa nini bidhaa za makampuni hayo zinatengenezwa China badala ya kutengenezwa katika nchi ambazo hayo makampuni yapo. Siku moja katika shughuli zangu za kila kila siku huku nikiwa natumia tablet PC yangu aina ya HP Touchpad kama inavyoonekana hapo chini...
ghafla lilinijia wazo la kuipekua tablet hiyo ili kubaini Tablet hiyo imetemngenezwa wapi na kwa bahati nilipata details ambazo zilionyesha kuwa Tablet PC it was designed by HP in California and it was made in China but they didnt mention ni kampuni gani ya huko china ambayo imtengeneza Tablet PC hiyo. Why they didnt mention that company? I dont know either
Baada ya kuona hayo sikuishia hapo niliamua kuchukua Tablet PC yangu nyingine aina ya Acer na kuikagua na nikapata details kuwa Tablet PC hiyo was made in China.
Then again nikakimbia kwenye my PC aina ya Dell na kuikagua and i Found out it was also made in China? Then the question came into my mind "Why are these products produced in china while these companies arent located in China?" The answer to that question is on HP Touchpad.
Ukisoma hayo maelezo hapo juu kwa makini utagundua kuwa China is good producing electronics stuffs but it isnt good in designing them. So haya makampuni kama Acer, HP, Dell etc wao kazi yao ni kudesign bidhaa lakini kwa kuwa wao sio wataalam sana wa mambo ya electronics wao huwapelekea designs zao makampuni ya China kwa kuingia nao mkataba ili waweze kuwatengezea bidhaa zao...Baada ya bidhaa kukamilika finishing hufanywa na hayo makampuni ikiwemo kuingiza software n.k
Kutokana na maelezo yangu hapo juu mtagundua kuwa not all Chinese products are fake...sasa katika kujibu hili swali najua kuna swali jingine ambalo utajiuliza...If chinese is the leading country in producing electronics stuff then why inatengeneza fake electronics products like cellphones, TV's, Radio's etc? Thats a good question na ndio swali la msingi ambalo ningependa tulijadili hapa.
Copyright © Young_Master, 2012. All rights reserved.